minze manonu
Member
- Nov 27, 2013
- 50
- 16
Kwa sababu ni chama chakavu!
Kwa hiyo hata mzazi wako akizeeka unamchukia?
wameanza kujitokeza , kujitegemea ni kazi ngumu sana ! lakini unyonyaji ni rahisi mno , sasa kimbembe ni pale mrija unapokatwa !Labda ni kichaa tu ndiye mwenye kuichukia CCM.
bavicha mawazo yao kama ya mlevi vile.
Kwahiyo CCM imezeeka!Kwa hiyo hata mzazi wako akizeeka unamchukia?
Kwahiyo CCM imezeeka!
Kwa hiyo hata mzazi wako akizeeka unamchukia?
CCM imekufanya nini mpaka uichukie?
CCM haidharauliwi kwa umri wake bali kwa tabia zake za kulea na kufuga kila aina ya madhalimu. wauza dawa za kulevya, majangili, mafisadi, majambazi,wabakaji, wang`oa kucha na meno, ongeza mwenyewe. Uzee wa ccm ni wa kukosa matunzo si vinginevyo.
hayo ni matusi kwa wazazi wako kwahiyo kwenu mkiwa mnakula mnashiba kwa chakula alichokuletea babayako na mama yako unawazarau wengine huna maana.