Kyabashasa
Member
- Nov 29, 2020
- 10
- 4
Jamani naomba kujua kuhusu diploma levels hizi wanaita NTA 4,5 na 6 naelewa 4 ni basic technician certificates 5 ni technician certificate na 6 ni ordinary diploma sasa swali langu je maximum GPA ni sawa kwa hizo levels kwamba zote zina maximum GPA ya 5? Ama kila NTA Ina maximum GPA yke?