emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Wandugu nimewasikiliza hapa TBC kuwa wanatumia michango wanawekeza ili wawalipe mafao mazuri wanachama,sasa sijaelewa wanatumia pesa za wanachama kuwekeza, hiyo faida mbona hawapewi wanachama,,Nimepiga TV ngumi TV imepona!!