Nilitegemea kuwaona wafanyakazi wa crdb Vodacom nssf ppf tra bandari trl wakiwa wamesheheni mafagio wakiwa sambamba na JPM samia au makonda lakini wapi nawaona bongo movie inamaana wameogopa kuchomwa ndani au wamesusa au kila mtu kafagia getini kwake.