Nssf oral interview

Nssf oral interview

Joined
Apr 5, 2014
Posts
39
Reaction score
8
Habari wanajamii wenzangu, kwa aliyefanya oral interview ya nssf baada ya writen 2 ifm, atujuze ilikuaje ?maana kuna dogo langu anasema, amepigiwa leo tar 3 march aende kwa oral jmos 14 march pale nssf hq.
 
kwa hiyo wanaendelea kuita, sisi tuliokuwa bado hatujaitwa tuendelee kujipa moyo tutaitwa? tujuzeni mnaopigiwa simu.
 
Back
Top Bottom