Inaonekana jamaa ni kundi la chura wa snura waliomwagwa lumumbaMbona unarukaruka kama chura, tulia upange hoja na correct grammatical errors as well ili ueleweke.
Sijui ni nani aliwaambia maendeleo ni maghorofa aghali yaliyo na wapangaji
White Elephant projects NSSF na PPF buildings country wide.
Majengo yamejengwa kwa pesa ndefu ya Watanzania, hakuna wapangaji. almost 3/4 does is not occupied.
Je wafanyakazi wenye pesa zao wanalipwa riba kadri pesa inavyokaa? Benki riba ni 18 to 25%
Je faida ya hiyo miradi ni nini, kwa wafanyakazi wenye amana zao?
NSSF ni waongo sana kuhusu mikopo kwa wanachama wake
Kutegemea SACCOS ni namna ya kupiga chenga kutoa mikopo
NSSF wanajenga miradi yenye 10% kwa viongozi
NSSF na PPF ni Majipu
NSSF and PPF, listen to Members please....Open your ears and mind
Waha madubwana hayaangali nani atapanga Bali yeye atapata percent ngapi
Wenyewe wanasema ni long term investment.
Umeelewa swali au umelewa kwa swali?Ni poor mind tu za kifisiem ndio znaweza enda wekeza majengo makubwa ya kibiashara kwenye miji yenye ukuaji hafifu na groomy future kama moshi..unaacha miji strategic,potential na yenye promising future kama mwanza,arusha,mbeya,kigoma,mtwara,dodoma na tanga wanahangaika na moshi inayojifia
Hivi kabla ya ku- reply ulikaa kidogo ukaitafakari Mada.?Ulitakaje labda ,,nenda kapangishe wewe
Wewe nawe kulikoni, hapa umeteleza sasa mkuu, sasa wakikosa wapangaji hiyo hela ya uwekezaji katika majengo mashirika waligharamia kuwekeza itarudije na kuzungusha faida? Kabla hujajibu kitu take time and relax acha kukurupukaSijui ni nani aliwaambia maendeleo ni maghorofa aghali yaliyo na wapangaji
Itabidi tutume vyombo vya dola ikiwamo takukuru wakakague hayo majengo,kama yako wazi wananchi wapewe vyumba vya kulala bure......haiwezekani tuna uhaba wa Nyumba nchini halafu wao wamezificha