PRESIDA TO BE..
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 302
- 200
Arusha Fao la kujitoa lipo sasa sijui wewe uko wapi.kama una taaluma ya kukuwezesha kupata kazi ukitatafuta utapewa fomu ya fao la kukosa ajira.kama ni hawa wanyonge wasio na taaluma unapewa mkupuo wote.mcheki munga akupe maelezo ya arusha na ilimchukua mwezi tu akapewa cheki yake.0785874389
Nenda tu ofisi yoyote iliyo karibu nawe. Hata hawana usumbufu siku hz na unachukulia hela yako popote tu ulipo, sio lazima urudi ulipokuwa unafanyia kazi.
Mbona mm nilienda wala sikuulizwa hayo maswali, labda hiyo ipo tu huko darAcheni uwongo nyie Rais alisema ntu apewe akifie mbele lkn ss hv ukienda unaambia ww km proffesional katafute kaz ss huwa nashindwa kuelewa Rais alituongopea kutwambie tukachukie chetu?
Hiyo ni kweli kuna mameneja wa baadhi ya mikoa wako hivyo! lakini cha kushangaza hata wenye professional kama za ualimu hakuna ajira sasa hivi!Acheni uwongo nyie Rais alisema ntu apewe akifie mbele lkn ss hv ukienda unaambia ww km proffesional katafute kaz ss huwa nashindwa kuelewa Rais alituongopea kutwambie tukachukie chetu?
Mi navyojua lipo, kwsbb nilienda wiki iliyopita siku ya jtano nikapewa fomu na sasa nimezituma kwa mwajiri ajaze na kuweka mhuri kisha nirudishe.Mnatuchanganya wengine hakuna wengine yapo au ndio team Lumumba imevamia uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Fomu ulipewa ya ni ya fao la kukosa ajira au fao la kujitia?Mi navyojua lipo, kwsbb nilienda wiki iliyopita siku ya jtano nikapewa fomu na sasa nimezituma kwa mwajiri ajaze na kuweka mhuri kisha nirudishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kujitoa maana niko na muda mrefu sipo kazini.Fomu ulipewa ya ni ya fao la kukosa ajira au fao la kujitia?
Lipo uwe na barua ya kuachishwa kazi ila kwa mbinde sana Mimi Nina mwezi Wa sita wananizungusha tuHabari wakuu
Naomba msaada mwenye kujua kama fao la kujitoa nssf lipo au ndo mpaka unitimize miaka 55....
Mtaani kugumu kama lipo tukachukue hizo hela tufanye hata biashara.