Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Mkuu, FYI, Kigamboni na Dar ni PWANI ya Afrika mashariki Lazima paendane na MAZINGIRA YA WAKAZI Nawazawaa wa Pwani...Exactly pashabihiane na Msikiti !!! Kwani hata Ikulu ni moja ya nembo za msikiti... Na UUDSM nayo ina taswira za grand Mosque !!Samahani napita...naona kama mfano wa msikiti vile.....dhana ya Dau kuinjilisha kimtindo mpaka public areas? au
Nenda pale NSSF kaulize JK kahusika kwa sehemu gani watakushangaa huo ni Mradi wa NSSF na serikali ilinawa mikono na haijatoa hata Senti Moja... hizo ni pesa za Wanachama ndio wakushukuliwa na sio Vasco aliyekula pesa zenu... i though wanasheria ni werevu kumbe mabogas hivi... unaleta kinyaaHakika JK ni wakupongezwa...
Jk hana hata chembe chembe ya kuhusika hapo na ndio maana hakutembelea hapo kwa aibu kuu kudivert pesa za kumalizia percent ya serikali katika kumalizia DARAJA Akatoka Benzi... Aibu kuu sana yeye hazungumzii hii kitu na nyie mnampazia bila aibu... kama mnampenda Kikwete Msifieni kuwa kasafiri nchi nyingi ndio sifa yake Kuu na sio kwenye Mambo kama Haya... ya maana...JK kafanya mengi mazuri. Dr Magufuli anakuja kuendeleza pale alipoishia Kikwete
ktk kashfa tanzania hii ni kashfa kubwa sana ktk hili daraja zimepigwa hela nyingi na ni kati ya jipu litakalomuondoa huyo Dr.Dr Dau aliahidi angejenga daraja lakigamboni kuwakomboa watu na kweli. Leo hii wana Kigamboni wanaliita Daraja la Dau...awamu ya kwanza ishamalizika
Na magari yashaanza kupita
MR RESULTS ORIENTED huyo hapo kati kati
Mbona Bado na Mwaka ulishapitamnatuonea. Daraja la Dau litakuwa ready mwakani
msitie shaka
Hajajenga Dr Ramadhani Dau wamejenga wachina..
Na pesa za nssf zilizotumika kulijenga ni za wafanyakazi wa Tanzania ambazo ni investment pia ambazo ni 60% na serikali imetoa 40%.
Na DR. R. DAU ALIKUWA ANATIMIZA MAJUKUMU YAKE KAMA WATUMISHI WENGINE AKIWA KAMA KIONGOZI WA SHIRIKA AKA CHIEF NA MAAMUZI YAKE YANAPITIWA NA BODI YA WAJUMBE PIA...
SO HAPA HUSI POTRAY YEYE TU POTRAY NSSF SABABU ALIAGIZWA NA NSSF.
Hapo mkuu ama umeongea siasa ama vinginevyo lakini mwisho wa siku umepotosha taarifa na kwakuwa wewe unaonekana hivyo jibu utakavyoeza ilimradi no mikwara wala kutoka nje ya mada wala matusi...
Naomba kuwasilisha boss
una mimba ya chuki dhidi ya JK,kama waziri alisaini inakuaje rais asihusike?!..tumia bichwa lako vizuriJk hana hata chembe chembe ya kuhusika hapo na ndio maana hakutembelea hapo kwa aibu kuu kudivert pesa za kumalizia percent ya serikali katika kumalizia DARAJA Akatoka Benzi... Aibu kuu sana yeye hazungumzii hii kitu na nyie mnampazia bila aibu... kama mnampenda Kikwete Msifieni kuwa kasafiri nchi nyingi ndio sifa yake Kuu na sio kwenye Mambo kama Haya... ya maana...
Alitoa Ahadi lukuki mwishowe akasema ilikuwa ni siasa so hakufanya kitu katika kutimiza Ahadi zake za Uongo... Msitukumbushe Machungu utanisabababishia''Ninywe Maji mimi'' Alaa...
una mimba ya chuki dhidi ya JK,kama waziri alisaini inakuaje rais asihusike?!..tumia bichwa lako vizuri