KERO NSSF Morogoro meneja amesafiri na ofisi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mpogorohalisi

Member
Joined
Jun 11, 2025
Posts
12
Reaction score
23
Wakuu Leo nimetoka NSSF Morogoro baada ya tarehe 28/5 kujibiwa vibaya na muhudumu wa reception kuhusu mafao yangu ambayo sasa yanamaliza mwezi na nusu.

Baada ya kukomaa sana waliniambia meneja amesafiri! Leo nimerudi majibu ni yale yale. Je ni kweli meneja akisafri na ofisi haipo? Ikiwa rais tu akienda nje ya nchi anaacha kwa makamu je nssf Morogoro hakuna kaimu?

Naomba jamii forum muwatafute nssf makao makuu watoe ufafanuz kama tunakaa mwezi meneja hayupo na mambo hayaendi basi hili ni jipu! Wengi tumesubirishwa kulipwa na tunapewa sababu kua meneja hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…