Wakuu Leo nimetoka NSSF Morogoro baada ya tarehe 28/5 kujibiwa vibaya na muhudumu wa reception kuhusu mafao yangu ambayo sasa yanamaliza mwezi na nusu.
Baada ya kukomaa sana waliniambia meneja amesafiri! Leo nimerudi majibu ni yale yale. Je ni kweli meneja akisafri na ofisi haipo? Ikiwa rais tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.