Nssf mafao yangu ubungo

  • Thread starter Thread starter guest-1787486720
  • Start date Start date
Lugha chafu ya Nini sasa?
1.4m take home bado ni mshahara ndogo.
Unajua 1.4M ya mwaka 2015 ni Sh ngapi ya sasa?! Fanya hesabu rahisi tu, tafuta bei ya kilo1 ya nyama mwaka huo...utoe bei ya sasa ya kilo ya nyama...ndio utapata thamani ya hiyo hela kwa sasa ...

Siko hapa kuongelea hayo....nilishatoka huko kwenye kuajiriwa...niko kwingine

Na kwa sasa hao madriller wanalipwa mili 4-5 nett pay...

Usishangae miner kumhonga mtumishi wa nssf milioni...maana anapata mafao makubwa ndani ya miaka michache tu.
 
Baada ya kuweka kidole inabidi usubili hadi mwezi kisheria

Lakini hesabu tangu umeweka vidole ndani ya week mbili utakua ushapokea pesa zako
 
Nssf ya miner inafika mpaka milioni 80+ na huyo ni miner wa kawaida unashindwaje kutoa milioni upate mtonyo
 
Hii kitu ni janga kabisaa
 
Last time nilichukua mafao yangu mkoa x... kulikuwa na hela ndogo 16m+ ilichukua kama siku 16 za kazi nikaona meseji na sikutoa chochote ila za zamani nilitoa ya maji 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…