G
Siku 8 tu unahaha? Just relax, as long as documentation zako ziko safi, chapa itasoma tu.
Noma sana TZ imekua kama sifa njema kuchelewesha mafaoSiku 8 tu unahaha? Just relax, as long as documentation zako ziko safi, chapa itasoma tu.
Nimechukua mafao nssf 2009, 2012 na 2015....Jamani nimeweka kidole tarehe 10/8/2026 paka leo tarehe 18 sijafanikiwa kupata hela zangu jamani
Kwani inachukuwa siku ngapi nssf? jamani familia zetu zitakufa njaa mke na mtoto watakula nini Sina kipato naitegemea hiyo ndio ininyanyue tena
Naombeni msaada hela inachukuwa siku ngapi au kuna mtu aliyeweka kidole mwezi huu wa nane na tayari ameshapata mafao yake?
Pesa zako unamhonga mtumishi anayelipwa mshahara mara 3+ zaidi ya wa kwako na posho ya kutosha.Nimechukua mafao nssf 2009, 2012 na 2015....
Miaka yote hiyo sikuwa na mkono wa birika, so chai kwangu ilimiminika vizuri tu...in less than 2 weeks...na nilikuwa mkoani!
Mafao yangu ya mwisho nilichukua within 7 days!...hapo hapo ubungo August 2015
Ulifanyia maombi online au?ni lini ulifanya?
NakaziaNimechukua mafao nssf 2009, 2012 na 2015....
Miaka yote hiyo sikuwa na mkono wa birika, so chai kwangu ilimiminika vizuri tu...in less than 2 weeks...na nilikuwa mkoani!
Mafao yangu ya mwisho nilichukua within 7 days!...hapo hapo ubungo August 2015
Sawa utabaki hivyo hivyoPesa zako unamhonga mtumishi anayelipwa mshahara mara 3+ zaidi ya wa kwako na posho ya kutosha.
Watanzania mmelogwa
Kwa mifumo yetu usipofanya hivyo utangoja sanaPesa zako unamhonga mtumishi anayelipwa mshahara mara 3+ zaidi ya wa kwako na posho ya kutosha.
Watanzania mmelogwa
Tumia Akili ! Pumbavv zako!.... Nett pay yangu Ya mwisho (Take home) ilikuwa 1,400,000! Kokotoa upate gross pay kenge wewe....Pesa zako unamhonga mtumishi anayelipwa mshahara mara 3+ zaidi ya wa kwako na posho ya kutosha.
Watanzania mmelogwa
Mimi sitoi na watanilipa. Mimi huwezi kunihudumia kama hujavaa kitambulisho.Kwa mifumo yetu usipofanya hivyo utangoja sana
Nakazia
Sawa utabaki hivyo hivyo
Lugha chafu ya Nini sasa?Tumia Akili ! Pumbavv zako!.... Nett pay yangu Ya mwisho (Take home) ilikuwa 1,400,000! Kokotoa upate gross pay kenge wewe....
Unafikiri wote wanalipwa laki 5!? Na elimu yangu ni ya hapa na pale Nina Uhakika Unanizidi mbali!...
Google mshahara wa chini wa Driller ni kiasi gani!
WANAENTERTAIN RUSHWA ,WATUMISHI WA UMMA SIJUI KAMA NAO UWA NA HUO UJINGAPesa zako unamhonga mtumishi anayelipwa mshahara mara 3+ zaidi ya wa kwako na posho ya kutosha.
Watanzania mmelogwa
Kuna TAKUKURU hadi huku jf πππ sorry...!!..,,,.,,,mwalimu njoo inbox
Tena watumishi wa umma ndo wanastaafu wakiwa wamewambwa balaa ππWANAENTERTAIN RUSHWA ,WATUMISHI WA UMMA SIJUI KAMA NAO UWA NA HUO UJINGA