Asee hii ni kimeo sana wadau, watu tutaishije wakat tultegemea kupata mitaji kutoka kwenye mafao yetu !!!.
Mtu nimekaa miez 18 bila ajira, nimeenda kufungua madai wakalipa 33% then nisubir tena 18 month ndo niombe kulipwa yote.
Daa NSSF mlaaniwe muwe na maisha magumu sana na mteseke