NSSF kwenye diaspora ya London | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NSSF kwenye diaspora ya London

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by profkobayashi, May 10, 2011.

 1. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna mtu anaweza kunifahamisha hawa jamaa wa NSSF huu utaalam wa kuzungumza na kuwafunika wenzao wanautoa wapi?

  Maskini wee TRA, PPF na NHC...bora hata wasingetuma watu kuja...

  Nasema hivyo kwa sababu siku ya jumamosi bwana Magori wa NSSF alifanya presentation ambayo to be honest naona haihitaji kuuliza maswali mengi kwani he was not only clear na open bali naweza kusema kuwa he brought the house down kwa ufanisi wa kueleza mambo makuu ma 4 ambayo to be honest yaliwavutia watu.

  Wakati wenzao wa NHC na PPF wanafanya presentations za Power point kutuonyesha nyumba zitakazo jengwa

  all Magori did was....Nyumba tunazo na mkizitaka tutawapa, tena kwa ushahidi kuonyesha nyuma zimekwisha!

  Then ikaja issue ya kusafirisha maiti...tukaambiwa all we have to do ni kujiunga na NSSF then not only tukifiwa bali ndugu zatu 4 watatibiwa bure kisa? kwa sababu tumejiunga na NSSF

  Then funga kazi ikawa hiyo ya Daraja....need I say more?

  and how can I forget hilo la umeme...Magori wa so clear kuwa kuna baadhi ya media wanafurahi kuona investors from India, Saudi Arabia na kwingineko


  Makes you wonder who is NSSF's media strategist na mbona huyo PR officer wao kajificha? Surely if Magori anaweza ku pull off na kujibu maswali kama vile then sioni haja ya NSSF kuwa na PR officers achilia mbali hilo jeshi la NSSF cyber warriors.

  Love them or hate them these guys know how to back up what they preach maana stats zao zinajionyesha na website yao says alot about this corporation.


  If only idara za serikali zingekuwa na media strategy kama ya NSSF ambao hawaoni taabu kuwa open on what they do and preach.

  I wouldnt be surprised kama JF ikapewa offer ya kununuliwa na NSSF. After all bodi ikiridhika kuwa there is money to be made then Mike na Max ni straight to the bank!
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Am definitely monkey's uncle on this... suddenly, Saul is also among the prophets!!!

  Btw, thought ya pseudos little book would be full by now... lol 'must hand it to you tho, you're good!
   
Loading...