NSSF kwa bei hizi za nyumba, Rais Magufuli tumbua uongozi wa nssf hauna tija kwa taifa

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
upload_2017-6-29_9-19-29.gif
 
Unategemeana na soko walilolilenga.. Na tukumbuke pia kuna ufisadi mkubwa ulifanyika kwenye ununuzi wa viwanja walipojenga hzo nyumba.. Kwahyo bei kubwa za hzo nyumba imechangiwa na bei kubwa za viwanja plus ufisadi.
 
Unategemeana na soko walilolilenga.. Na tukumbuke pia kuna ufisadi mkubwa ulifanyika kwenye ununuzi wa viwanja walipojenga hzo nyumba.. Kwahyo bei kubwa za hzo nyumba imechangiwa na bei kubwa za viwanja plus ufisadi.
hawakulijua hilo; na kama ni makosa Ardhi ni mali ya NSSF ; kwa nini wa declare loss ili wauze nyumba nyingi za ghorof a; Baada ya muda mrefu ku cap hizo hela waendelee na ujenzi ;
 
Si nhc wala nssf wanaowalenga wananchi wa kawaida katika miladi yao. Jpm atupie macho haya mashilika
 
bei za hizo nyumba kuwa juu ni results ya upigaji na wizi tu...... hapo misumali tu kg 1 tu utakuta imenunuliwa kwa laki 5.. bado viwanja hapo unakuta wamenunua mabilion...

wazee wa 10 parcent hapo ndio kwao
 
Inashangaza sana kuwa wanaowavhangia mifuko yao asilimia kubwa hawawezi kununua hayo makazi.

Nchi bado ina mengi ya kufanya. Hapa kazi tu bila watu kuoata makazi ni bado shida kubwaaaaa

Bora ingekuwa inamilikiwa na mtu binafsi
 
Kama hao NHC nyumba zao ni za kiwango cha chini sana na nothing special. But the price is exorbitant.
 
Back
Top Bottom