Mkuu mimi sijakuelewa una maana fao la kujitoa limerudishwa na NSSF?MAFAO YA MUDA MFUPI
1) KURUDISHIWA MICHANGO YA UANACHAMA / WITHDRAWAL BENEFIT
Viambatanisho
Fomu za Kujaza
- Barua ya kuacha kazi kutoka kwa mwajiri (original na kopi)
- Kadi yako ya uanachama ya NSSF (smart card) na kopi yake
- Picha tatu za passport size
- Kopi ya kadi ya Benki
Angalia mfano halisi wa fomu NSSF/B.17 iliyokwishajazwa
- NSSF/R.6 (ipelekwe kujazwa kwa mwajiri)
- NSSF/B.17 (Jaza kopi tatu)
Lilifutwa lini kwani?Mkuu mimi sijakuelewa una fao la kujitoa limerudishwa na NSSF?
Lilifutwa na badala yake likawekwa fao la bima ya afyaLilifutwa lini kwani?
Lilifutwa lini kwani?
Halijawahi kufutwa ila walibadili utaratibu ule wa mwanzo ilikuwa ikitolewa ndani ya mwezi tu tangu kuacha Kazi ila sasa wamerudisha utaratibu wa mwanzo wa miezi 6 kusubiri.Lilifutwa kimya kimya. Kuna uzi uliwekwa humu watu wanalalamika.
Ndo mpaka wawepo hapa kutoa maelezoHalijawahi kufutwa na lipo kwenye maelezo yao................. sasa labda watuambie wenyewe ni kwanini lipo ila kutoa unazungushwa.
Ngoja tuwaite NSSFNdo mpaka wawepo hapa kutoa maelezo
Post sent using JamiiForums mobile app
Hiyo source yenyewe hakuna maelezo,huyu jamaa anapulizia huu moto wa Mafao,wangeingia kwenyeUngeweka hii habari venye watu wengi wanategemea iwe ila aya mazaga mh
Post sent using JamiiForums mobile app
Hiyo source yenyewe hakuna maelezo,huyu jamaa anapulizia huu moto wa Mafao,wangeingia kwenye
mioyo ya wanachama jinsi inavyofanana na terrorist!!!!!