Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
Mtalalamika nyie we unazani kwanini kuna taasisi za kupanga bei za huduma? Kipindi kile tu kwenye daladala ilikuwa ikiongezwa Sh 100 watu wanatokwa mapovu ndo ije iongezwe Tsh 1000-1500 si mtashindwa kupandaHii awamu ya kwanza barabara ni mali ya serikali, hivyo serikali inauwezo wa kukupangia bei, ila barabara inapokuwa mali yako unapanga nauli utakayo
Sent using Jamii Forums mobile app