FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Wajenge kisha wapewe hati miliki ya kuwa waendeshaji pekee wa BRT phase 3, pesa yao itarudi haraka na kwa uhakika, na faida juu.
Hiv hela waluiotumia daraja la Kigamboni isharudi kwani??Wajenge kisha wapewe hati miliki ya kuwa waendeshaji pekee wa BRT phase 3, pesa yao itarudi haraka na kwa uhakika, na faida juu.
Hela haita rudi leo lakini hakika itarudi. Kigamboni mjii unakuwa sanaHiv hela waluiotumia daraja la Kigamboni isharudi kwani??
Au inategemewa kurudi lini?
Watu wanataka pesa zao nyie mnazipigia hesabu mkajengee cjui nini.Wajenge kisha wapewe hati miliki ya kuwa waendeshaji pekee wa BRT phase 3, pesa yao itarudi haraka na kwa uhakika, na faida juu.
Kwanini? Sasa hivi Phase 2 inajengwa kwa mkopo wa AfDB, kwanini unafikiri ni vizuri kutumia mafao ya watu?Wajenge kisha wapewe hati miliki ya kuwa waendeshaji pekee wa BRT phase 3, pesa yao itarudi haraka na kwa uhakika, na faida juu.
Nafahamu kwamba phase 2 inajengwa na AfDB, lakinj huo mradi ni biashara ya ukiritimba, na siku zote biashara za ukiritimba zinalipa sana na ni za uhakika, maana hazina mpinzani, maana yake ni kwamba unanyang'anya biashara za madaladala 50,000/= na zote unareplace na mabasi yako, wateja ni wa uhakika, watake watapanda, wasitake watapanda maana hiyo route inakuwa ni yako tu!Kwanini? Sasa hivi Phase 2 inajengwa kwa mkopo wa AfDB, kwanini unafikiri ni vizuri kutumia mafao ya watu?
Basi sema waombe kuendesha. Usisashau kuendesha watahitaji kampuni kamili kufanya hio kazi.Nafahamu kwamba phase 2 inajengwa na AfDB, lakinj huo mradi ni biashara ya ukiritimba, na siku zote biashara za ukiritimba zinalipa sana na ni za uhakika, maana hazina mpinzani, maana yake ni kwamba unanyang'anya biashara za madaladala 50,000/= na zote unareplace na mabasi yako, wateja ni wa uhakika, watake watapanda, wasitake watapanda maana hiyo route inakuwa ni yako tu!
Mbona hawakuomba kuendesha Kigamboni bridge, badala yake wameomba kujenga na kuendeshaBasi sema waombe kuendesha. Usisashau kuendesha watahitaji kampuni kamili kufanya hio kazi.
Biashara ya usafirishaji ni hasara bila serikali kuweka pesa ya kufidia hasara hauwezi kujiendesha kwa faida.Wajenge kisha wapewe hati miliki ya kuwa waendeshaji pekee wa BRT phase 3, pesa yao itarudi haraka na kwa uhakika, na faida juu.
Unafananisha Kigamboni bridge na fleet ya Mabasi 200-300? Logistics za mabasi ni Sawa na kukusanya hela kwenye kivuko? Fyi wale wafanya wengi wa Darajani ni wafanya wa zamani wa NSSF. Sasa mabasi 300 inabidi uajiri madereva 300, bado karakana ya kuhudumia hayo mabasi na vurugu kibao. Usichukulie mambo kirahisi wewe.Mbona hawakuomba kuendesha Kigamboni bridge, badala yake wameomba kujenga na kuendesha
Kama ni hasara mbona watu wanapigana vikumbo kuagiza mabasi ya mikoani na daladala?Biashara ya usafirishaji ni hasara bila serikali kuweka pesa ya kufidia hasara hauwezi kujiendesha kwa faida.
Sent using Jamii Forums mobile app
No problem, wajenge kisha waikodishe kwa kampuni ya mabasi na wawe wanachukua kodi ya pango.Unafananisha Kigamboni bridge na fleet ya Mabasi 200-300? Logistics za mabasi ni Sawa na kukusanya hela kwenye kivuko? Fyi wale wafanya wengi wa Darajani ni wafanya wa zamani wa NSSF. Sasa mabasi 300 inabidi uajiri madereva 300, bado karakana ya kuhudumia hayo mabasi na vurugu kibao. Usichukulie mambo kirahisi wewe.
Angalia kila kukicha yanakuja makampuni mapya na yale ambayo hayakostable yanakufa, hafu jiulize kwanini wale matajiri wa muda mrefu wa mabasi wako associated na uuzaji mafuta? Jiulize tena Je Mengi, Mo na wengine fursa za biashara za mabasi hawazioni?Kama ni hasara mbona watu wanapigana vikumbo kuagiza mabasi ya mikoani na daladala?
Hao wanakuwa na ushindani mkali sana wa kibiashara katika usafirishaji wa abiria hasa mikoani, ila BRT ni biashara ya ukiritimba na huna mshindani, uko peke yako, unashindwaje?Angalia kila kukicha yanakuja makampuni mapya na yale ambayo hayakostable yanakufa, hafu jiulize kwanini wale matajiri wa muda mrefu wa mabasi wako associated na uuzaji mafuta? Jiulize tena Je Mengi, Mo na wengine fursa za biashara za mabasi hawazioni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nauli tu unayolipa Kimara Ferry/Morroco/Gerezani haitoshi mpango wa mwanzo ulikuwa lazima ulipe 2400Tsh kwa trip ndo maana kulikuwepo na delay ya kuanza hadi JPM alipoingilia kati, serikali nadhani iliahidi kuweka subsidies ya kiasi fulani. Angalia Je katika miaka 3 ya operation kwann mabasi yamepungua na hata huduma zimekuwa za hovyo, means operation cost ni kubwaHao wanakuwa na ushindani mkali sana wa kibiashara katika usafirishaji wa abiria hasa mikoani, ila BRT ni biashara ya ukiritimba na huna mshindani, uko peke yako, unashindwaje?
Hii awamu ya kwanza barabara ni mali ya serikali, hivyo serikali inauwezo wa kukupangia bei, ila barabara inapokuwa mali yako unapanga nauli utakayoHiyo nauli tu unayolipa Kimara Ferry/Morroco/Gerezani haitoshi mpango wa mwanzo ulikuwa lazima ulipe 2400Tsh kwa trip ndo maana kulikuwepo na delay ya kuanza hadi JPM alipoingilia kati, serikali nadhani iliahidi kuweka subsidies ya kiasi fulani. Angalia Je katika miaka 3 ya operation kwann mabasi yamepungua na hata huduma zimekuwa za hovyo, means operation cost ni kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app