Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,587 Jul 24, 2018 #1 Almost a week ametolewa Mkurugenzi NSSF. Leo waziri kavunja bodi. Si bodi wala Mkurugenzi hakuna alokaa muda mrefu pale. Je hawa nao bado wanaendelea na manjonjo ya awam ya JK? Kunani NSSF?
Almost a week ametolewa Mkurugenzi NSSF. Leo waziri kavunja bodi. Si bodi wala Mkurugenzi hakuna alokaa muda mrefu pale. Je hawa nao bado wanaendelea na manjonjo ya awam ya JK? Kunani NSSF?
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,015 Reaction score 9,558 Jul 24, 2018 #2 me mgen
Lagrange JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 2,441 Reaction score 2,878 Jul 24, 2018 #3 Ni mwendo wa kutengua tu, hamna shida by the way.
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,864 Reaction score 8,269 Jul 24, 2018 #4 Poa tu,nimekosa fweza zangu eti kwa kuwa ninepata kazi ingine,hiyo ni Lana acha watumbuane tu