Nssan datsun pickup

Nssan datsun pickup

mjomba 1

Senior Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
104
Reaction score
31
images.jpg Ndugu wana JF, kwa heshima kubwa naomba kufahamishwa na wataalam wa magari ni wapi naweza kupata NISSAN DATSUN PICKUP
 
mkuu kuipata nenda uchagani zipo,nenda pale moshi mjini karibu na kanisa la kkkt na stend kuna mzee anapak pale ya rangi ya blue anaitwa mallya au change
 
Nenda south africa mji wa knsyna au port elizabeth zipo nyingi model kama hapo juu ila bei juu wanazimind sana
 
Nenda south africa mji wa knsyna au port elizabeth zipo nyingi model kama hapo juu ila bei juu wanazimind sana.hapo hadi datsun 120y au j zipo salon kali kweli wanazitumia ktk mashindano ya magar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom