nshomile wanapokutana, hashindwi mtu!

Kizimkazimkuu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
337
234
jamaa mmoja,Nshomile aliwakuta rafiki zake wawili wahaya wakiwa katika mazungumzo ya kawaida. mmoja wao alikuwa ana mtoto anaitwa Gosbert ambaye alisoma shule ya msingi na huyu nshomile. mazungumzo yakawa hivi:-

Nshomile: Ndugu yangu za siku, mwanao hajambo?
Baba Gosbert: Salama, mwanao pia vipi?
Nshomile:..aah Livingstone anaendelea vizuri, baada ya primary kalifaulu kwenda Mzumbe, kule kakaperform vizuri sana. High school alikwenda Ilboru akatoka na pointi tatu. wakamchagua Muhimbili, he did wonders akagraduate as a best student, akasomea shahada ya uzamili makerere, sasa ni surgeon, daktari bingwa wa upasuaji. Vipi ka Gosbert, kako wapi siku hizi?
baba Gosbert:(kwa kujiamini) Aah Gosbert pia alifanya vizuri sana, kwa sasa anashughulikia wagonjwa walioshindikana na mabingwa!
Nshomile:haya kwaherini, (akaaga akiwa mnyonge, aliamini kuwa mwanae Livingstone ana mafanikio zaidi ya Gosbert)

Baada ya kuondoka, yule jamaa watatu akamuuliza baba Gosbert; Hivi kumbe ka Gosbert kamesoma eeh!
Baba Gosbert:...ah, kapumbavu sana kasome wapi? Kameishia kuchimba makaburi tu!
 
Hii kali kweli kweli!
 
..jammaa hawa nasikia waki graduate wanahakikisha wamelipia na kuondoka na Graduation gown kabisa maan huwa ndio vazi wakati wa Xmas. Jamaa wanaingia nayo kwenye mabaa, church n.k kule vijijini!
 
mkuu umeishia la ngapi? Unajua ukichukua gown deadline ya kurudisha joho huwa ni muda gani? Au unaongelea vyuo vipi? Acha kejeli za kipuuzi kwa makabila ya watu!
 
Wewe hakuna muhaya anayechimba makaburi,warning,you could be sued for mudslinging and unproven claims.
 
mkuu umeishia la ngapi? Unajua ukichukua gown deadline ya kurudisha joho huwa ni muda gani? Au unaongelea vyuo vipi? Acha kejeli za kipuuzi kwa makabila ya watu!

Jamani huu ni utani tu, usikasirike ki hivyo.
 
Brother hii ni forum ya kejeli na utani.....umedandia treni kwa mbele! and BTW graduation gown siku hizi hata chekechea zipo?
But on a serious note. Unapochukua graduation gown huwa unaacha deposit (atleast kwa vyuo vya bongo nilivyosoma( nshomile na mimi) kama hutarudisha then they forfeit your money.
 
Jamani huu ni utani tu, usikasirike ki hivyo.

jamaa naye nshomile...read his post '' mkuu umeishia la ngapi? Unajua ukichukua gown deadline ya kurudisha joho huwa ni muda gani? Au unaongelea vyuo vipi? Acha kejeli za kipuuzi kwa makabila ya watu'' some kwa tone ya kule kwetu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom