mimi ni mwingoni wa watu waliofanya written interview jana ila habari za uhakika toka ndani ya NSSF mawaziri wa nchi kibao wamepeleka majina ya watu wao wasidhani hii tz ya mwaka huo sasa ni zama za uwazi na ukweli.
Ninakusudia kuyaweka hadharani majina aliyoyapeleka waziri wa maliasili Maige yako kama nane nasubiria kama matokeo ya watu hao yatapitishwa ninafuatilia pale IFM inasemekana jamaa hawajafanya hata paper huu uonevu mkubwa sana watu tutafanyaje kwa staili hii kisa Maige alikuwa mmoja wa wajumbe wa mfuko huu sasa naahidi nitayapeleka majina hayo kwenye magazeti nitagharimia yawekwe wazi watu wafahamu uozo unaofanywa na wanaojiita wenye nchi.
Pia wanapa tahadhari NSSF kitengo cha uajiri HR nitawaumbua fuateni haki
huwezi kupata kazi hata ya kukata tiketi pale ubungo..nsff ndo nini?hebu kwenda huko...akili huna unataka kusumbua watu hapa..nenda kalime
What a way to start the new year!! Just because you have the means to enjoy life does not mean that uwatukane wenye kutafuta.
Happy new year!!!
hakuna kitu nsff kuna nssf national social securty fund WE BUILD YOUR FUTURE
Nashukuru tuko serious unasema sina akili ungalijua whom am I kama na wewe u miongoni mnaopitia mgongo wa mawaziri kama maige jiandae nasubiria majina hayo yakipita tu oral interview nitayaweka wazi yote na nitaita media ili tabia hii ikome maana hata aliyenipatia majina na mwajiriwa wa NSSF kitengo cha HR tunataka watu waajiriwe kutokana na right qualifications zao si vinginevyo.huwezi kupata kazi hata ya kukata tiketi pale ubungo..nsff ndo nini?hebu kwenda huko...akili huna unataka kusumbua watu hapa..nenda kalime
mimi ni mwingoni wa watu waliofanya written interview jana ila habari za uhakika toka ndani ya NSSF mawaziri wa nchi kibao wamepeleka majina ya watu wao wasidhani hii tz ya mwaka huo sasa ni zama za uwazi na ukweli.
Ninakusudia kuyaweka hadharani majina aliyoyapeleka waziri wa maliasili Maige yako kama nane nasubiria kama matokeo ya watu hao yatapitishwa ninafuatilia pale IFM inasemekana jamaa hawajafanya hata paper huu uonevu mkubwa sana watu tutafanyaje kwa staili hii kisa Maige alikuwa mmoja wa wajumbe wa mfuko huu sasa naahidi nitayapeleka majina hayo kwenye magazeti nitagharimia yawekwe wazi watu wafahamu uozo unaofanywa na wanaojiita wenye nchi.
Pia wanapa tahadhari NSSF kitengo cha uajiri HR nitawaumbua fuateni haki
hakuna kitu nsff kuna nssf national social securty fund WE BUILD YOUR FUTURE
Nashukuru tuko serious unasema sina akili ungalijua whom am I kama na wewe u miongoni mnaopitia mgongo wa mawaziri kama maige jiandae nasubiria majina hayo yakipita tu oral interview nitayaweka wazi yote na nitaita media ili tabia hii ikome maana hata aliyenipatia majina na mwajiriwa wa NSSF kitengo cha HR tunataka watu waajiriwe kutokana na right qualifications zao si vinginevyo.
tutafika tu
..Jana niliona kuna umuhmu wa kuunda mtandao wa mageuzi ndani ya hii nchi badala ya kuongea. Tulikuwa wengi ajabu na asilimia kubwa ni kama watahiniwa hawana imani na huo mtihani tulioufanya. Niliweza kukutana na jamaa yangu ambaye tulimaliza six, na yeye anasema kila akiomba serikalini ni kufanya mitihani na si interview kitu ambacho anaamni angeingia kwenye interview angewaonyesha kuwa anaweza.
Seriously we have employment syndrome na sijui hii hulka itaisha lini. Hata kama hakuna corruption kama watu wote niliowaona ndo wanatafuta kazi kila mwaka then, hata hizo ajira sidhan kama zitatosha.
I have made my mind that in next 2 yrs to come, i will employ not less than 10 people. I am very srious on this and i have to make it work.
pole sana kwa kukatishwa tamaa na system ya ajira nchini mie ningekushauri uyatoe majina right now ili wajue kuwa huo mchezo mchafu umegundulika (prevention is better thani cure) ukisubiri wakishakamata nafasi ujue huwezi kufanikisha lengo lako.mimi ni mwingoni wa watu waliofanya written interview jana ila habari za uhakika toka ndani ya NSSF mawaziri wa nchi kibao wamepeleka majina ya watu wao wasidhani hii tz ya mwaka huo sasa ni zama za uwazi na ukweli.