Mkuu, kuna watu humu wanachekesha sana. Wanailinganisha CCM na miozo yao. CCM ni chama cha siasa hivyo huwezi kufananisha na SACCOS ya akina Mbowe au Kikundi cha Kijeshi, NRM ya MuseveniKwani NRM ni chama cha siasa? Acha upunguani wewe. Unakumbuka mara ya mwisho wamefanya uchaguzi lini? Unajua pia ni tangu lini Museveni amekuwa kiongozi wa NRM
Amama
Mbabazi
Wiki hii chama tawala nchini Uganda kimemvua ukatibu mkuu Bw Amama
Mbabazi kwa kosa la kuanza kampieni za urais kabla ya wakati. Mbabazi
mwenye miaka 65 pia ni waziri mkuu wa serikali ya Mseveni anatuhumiwa
kumtumia mke wake kuzunguka nchi nzima kumchafua Mseveni na kupigia debe
mme wake. Katika mkutano wa wabunge wa chama hicho uliofanyika Ikulu
Kololo mjini Kampala kwa kauli moja wamemvua uongozi na hatua za kumvua
uanachama zikitarajiwa kufuata.
My take: Kwa upande wa Ccm tuliotangaziwa wamewekwa chini ya uangalizi
wa mwaka mmoja wanagombea uenyekiti wa bunge la Katiba! Kama chama
kichanga kama Chadema wanachukua hatua kwa kiongozi kama ZZK inauwaje
kwa chama kikongwe? Hata NRM ni chama cha juzi tu, maana kmebadilika
mwaka 2002 kutoka Vuguvugu la ukombozi yaani chama cha waasi wakati huo
hadi kuwa chama cha siasa.
Mkuu, kuna watu humu
wanachekesha sana. Wanailinganisha CCM na miozo yao. CCM ni chama cha
siasa hivyo huwezi kufananisha na SACCOS ya akina Mbowe au Kikundi cha
Kijeshi, NRM ya Museveni
Hayo ni mawazo yako mkuu. Rudi kwenye hojaSwali kwako mkuu Hivi chama cha siasa cha kidemokrasia kwanini kina wa Kolimba watu wanao tofautiana nacho?
Bora umempa za uso huyo jamaaNRM ni chama kinacho ongozwa na Dikteta Museveni na Chadema inaongozwa na Dikteta Mbowe!
Hapo ni kweli vipo sawa
Ahsante sana Mkuu. Nadhani jibu hilo limemtoshelezani kweli kabisa NRM ni kama chadema, mwenyekiti wao bwana MSEVENI ni kama Mbowe, wote ving'ang'anizi hawataki kuitisha uchaguzi na kuachia vijiti wengine, wote hawana ukomo katika nyadhifa zao! Asante sana kwa kuleta ufananisho makini ndugu mtoa mada
Amama Mbabazi
Wiki hii chama tawala nchini Uganda kimemvua ukatibu mkuu Bw Amama Mbabazi kwa kosa la kuanza kampieni za urais kabla ya wakati. Mbabazi mwenye miaka 65 pia ni waziri mkuu wa serikali ya Mseveni anatuhumiwa kumtumia mke wake kuzunguka nchi nzima kumchafua Mseveni na kupigia debe mme wake. Katika mkutano wa wabunge wa chama hicho uliofanyika Ikulu Kololo mjini Kampala kwa kauli moja wamemvua uongozi na hatua za kumvua uanachama zikitarajiwa kufuata.
My take: Kwa upande wa Ccm tuliotangaziwa wamewekwa chini ya uangalizi wa mwaka mmoja wanagombea uenyekiti wa bunge la Katiba! Kama chama kichanga kama Chadema wanachukua hatua kwa kiongozi kama ZZK inauwaje kwa chama kikongwe? Hata NRM ni chama cha juzi tu, maana kmebadilika mwaka 2002 kutoka Vuguvugu la ukombozi yaani chama cha waasi wakati huo hadi kuwa chama cha siasa.
NRM ni chama kinacho ongozwa na Dikteta Museveni na Chadema inaongozwa na Dikteta Mbowe!
Hapo ni kweli vipo sawa
ni kweli kabisa NRM ni kama chadema, mwenyekiti wao bwana MSEVENI ni kama Mbowe, wote ving'ang'anizi hawataki kuitisha uchaguzi na kuachia vijiti wengine, wote hawana ukomo katika nyadhifa zao! Asante sana kwa kuleta ufananisho makini ndugu mtoa mada
hivi na ile saccos ya mtei nayo niyakutolewa mfano? ajabu hii.
Amama Mbabazi
Wiki hii chama tawala nchini Uganda kimemvua ukatibu mkuu Bw Amama Mbabazi kwa kosa la kuanza kampieni za urais kabla ya wakati. Mbabazi mwenye miaka 65 pia ni waziri mkuu wa serikali ya Mseveni anatuhumiwa kumtumia mke wake kuzunguka nchi nzima kumchafua Mseveni na kupigia debe mme wake. Katika mkutano wa wabunge wa chama hicho uliofanyika Ikulu Kololo mjini Kampala kwa kauli moja wamemvua uongozi na hatua za kumvua uanachama zikitarajiwa kufuata.
My take: Kwa upande wa Ccm tuliotangaziwa wamewekwa chini ya uangalizi wa mwaka mmoja wanagombea uenyekiti wa bunge la Katiba! Kama chama kichanga kama Chadema wanachukua hatua kwa kiongozi kama ZZK inauwaje kwa chama kikongwe? Hata NRM ni chama cha juzi tu, maana kmebadilika mwaka 2002 kutoka Vuguvugu la ukombozi yaani chama cha waasi wakati huo hadi kuwa chama cha siasa.
ccm wengi naona wanamdharau museveni na chama chake ambao ndio wamepitisha sheria za kupinga ushoga. Au ccm ushoga ulivozuiliwa na museveni imewachoma sana?mlitaka auhalalishe?