Now we know

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,127
Reaction score
11,938
Nchi kama hii hata maendeleo yatakuepo tu
i bet hii nchi inapata privilages nyingi sana...[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Mkuu Avatar mok acha kujidanganya kabisa, huyo mwanamke aliyevaa Bikini siyo Rais wa Croatia Grabar-Kitarovic, bali ni Coco Austin mke wa rapa na muigizaji Ice-T(Tracy Lauren Marrow). Coco Austin amefanana kwa mbali na Grabar-Kitarovic ambaye ndiye Rais wa Croatia.

Picha hizi za Coco Austini zimesambazwa makusudi ili kupotosha ukweli na zilizagaa kwenye mitandao mwaka 2016. Grabar-Kitarovic hajapiga picha za namna hii na kuzisambaza kwenye mitandao.
 
Ahsante kwa kutuhabarisha mkuu tulishamezeshwa matango pori
 
Rais Wa Nchi Ni Cheo Cha Heshima Sana.
Acheni Kumfananisha Na Vitu Vya Kijinga!
 
Nchi kama hii hata maendeleo yatakuepo tu
i bet hii nchi inapata privilages nyingi sana...[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
View attachment 804935
ni tanzania pekee inayopata tabu na muonekano wa mwanamke. Nchi nyingine wamefocus kwenye Technology na masuala muhimu. Umbo au mwonekano wa mwanamke haukupi maendeleo comrade!
 
Mbona kafanana na mm [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…