Now this is whats uppp

Hiyo kali! wao si wanataka tairi,wabaki nalo!?
 
Nilikuwa nina hasira ajabu lakini nimejikuta ninacheka mkuu mwenzangu,kamata like hiyo.....
 
Nimekumbuka na kwa kuwaweza angeondoka nalo badala ya kuwaachia hapo....
 
Duh!! Hii kali. Lazima niifanyie majaribio.
 
aisee kweli JF mnapelekea watu wawe wabunifu mbona hii fasta nimecopy na kupest itafanyiwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…