Now it is for sure Kikwete will support Lowassa 2015

Huu upepo wa urais naona unavuma against EL,ingawa muda bado ngoja tusubiri tuombe uzima tu napenda sana niwe hai nione sarakasi zitakavyopigwa kambi zote 4 za sasa....EL,BM,JK na wasio na kambi..(Nayo ni Kambi).....CC nako kuna wazee wanasubiri jina EL walifyeke!..Mangula,Lukuvi,Nchimbi,Migiro na Kinana....EL atakatiza pale kweli?watamkata maini macho makavu..ku support ataemtaka JK
 
Mpaka sasa hiyo ndo sinema inayochezwa ,wahuni wa uwt wanakuja na maneno mitaani bila woga wanapandikiza maneno ya kutungwa 'lowasa na jk hawapatani' mara jk chaguo lake ni huyu mara hiki mara kile,yote hii ni mbinu ya kupoteza malengo na kumuwekea EL mazingira ya kupita kiulainiii.
 
who does not know that watoto wanafeli....by jk
 

Namsikitikia sana Mamvi, anarudia makosa yale yale yalimfanya aondolewe kwenye uwaziri Mkuu.

Washauri wake ni wasahaulifu sana na matukio ya kisiasa. For the benefit ya vijana ambao ni wageni hapa Jamvini, tabia moja ya EL ambayo inaweza kumkera yeyote ni yeye kutaka kuonekana anaweza kufanya zaidi ya wale walio juu yake. Akiwa PM baada ya maamuzi yeyote na Mkulu au VP basi yeye alikuwa anawawahi na kuyatoa yeye hata kabla Mkuu wa nchi hajayazungumzia. Kuna baadhi ya teuizi uamuzi umekamilika yeye alikuwa anawapigia simu wateuliwa kuwa yeye ndiyo kawapendekeza na wasubiri kutajwa na Kikwete. So alijenga himaya kuwa yeye ndiye mwenye maamuzi kuliko mtu yeyote serikalini.

Naamini hatua ya serikali kuunda tume iliamliwa na chama na serikali na yeye EL kwa kutumia wapambe wake akaipata na kuwahi kuizungumzia kabla ya serikali. Ila kwa serikali imeamua kujibu kila jambo hakuona tatzo kuifanyia kazi wakati imeshasemwa na Mamvi.

Mamvi anarudia makosa yale yale na hakika sioni kabisa CCM wakimpitisha kuwa mgombea wao unless kama akifanya tofauti. hatua ya kikwete kumjibu suala la ajira kwenye kikao cha chama ilionyesha jinsi serikali isivyotaka makada wake kuzungumzia hoja nzito nje ya utaratibu wa chama. Hoja za nje ya chama zinakipa kazi chama kujitetea mbele ya wananchi .

Lowasa kama anataka aweze kuwa mgombea kupitia chama chochote lazima atambue haya

1:Hauwezi ukam-outshine kiongozi wako wa juu awe rais ama mwenyekiti na kutegemea utapata nafasi kubwa ya kisiasa. Yeye Mamvi anatakiwa atoe mapendekezo yake kwenye chama na kuonyesha chama kinafanya kazi ipasavyo na hakuna makundi.

2. Aache kujifanya yeya hausiki na matatizo yalipoyopo nchini, hausiki na mabaya ya chama, hausiki na CCM na kwamba yeye ni mteule atajayewavusha watanzania. mamvi anatakiwe mstari mmoja na viongozi wa chama chake katika kujenga chama na kuhakikisha sera za chama chao zinatekelezeka kwa zaidi ya asilimia 50:

Mamvi ana mda, washauri na wapambe wanatakiwa kumsaidie mapema kabla hajakubwa na janga lingine ambalo litamdhohofisha zaidi kiafya na kisiasa.

Nakubaliana na yule aliyesema watu waliozaliwa baada ya Uhuru hawataweza kulipeleka taifa mbele sababu wamelitumikia taifa kwa muda wote bila kulisongesha mbele. Sikatai kuna mafanikio makubwa ila walitakiwa kufanya zaidi kuliko kuiba zaidi.

R.I.P the late Mwalimu
 
siipendi CCM lakini ukweli power house ya JK ilikuwa EL ndiyo maana baada ya richmondgate JK ni kama kipepeo asiye na msimamo! Bila EL hata JK anajijua yeye si kitu!! unakumbuka wamekuwa pacha toka kipindi cha mwalimu? Kipindi cha EL misimamo ya GOVT ilikuwa crystal clear!! lakini siku hizi misimamo ni as clear as mud!!
 
Inaonekana huwajui hao watatu wa mwisho....Wote EL piga garagaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…