Now it is for sure Kikwete will support Lowassa 2015

Now it is for sure Kikwete will support Lowassa 2015

ashtatu

Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
18
Reaction score
1
Refer
Juzi mbunge wa Monduli alifanya press conference akizungumzia mambo mengi but specific asked mr president aunde tume to investigate form four results. Specific and Open request.

Meaning:
There has been rumors Kikwete and Lowassa hawapatani, if it is true, then where did Lowassa get the courage to make a this specific and open request???

On my view nahisi Lowassa was trying to test his power ndani ya chama tena kwa mtu mkubwa kabisa ndani ya chama, ndiyo, TRICK.

Trick Kikwete:

Mr president naye amelijua ilo and by what he decided bila shaka it is true ata yeye hawezi kushindana na nguvu ya Lowassa ndani ya chama kwa sasa, though hana uhakika that why kama kawaida yake akamtuma Pinda as always so in case of back fire from other "wana-run-for-preident-2015" guys asiwe mwenye lawama(PATA PICHA KICHWA CHA HABARI MWANANCHI, "KIKWETE AMSAPOTI LOWASSA, AUNDA TUME"). UPEPO.

So?
Kama upepo hautabadlika, tena hautabadlika sana then kuna uwezekano mkubwa sana kikwete akamsapoti lowasa.

JUST A THOUGHT NOT A FACT
 
Refer:
Juzi mbunge wa monduli alifanya press conference akizungumzia mambo mengi but specific asked mr president aunde tume to investigate form four results. Specific and Open request.

Meaning:
There has been rumors kikwete and lowasa hawapatani, if it is true, then where did lowasa get the courage to make a this specific and open request???
On my view nahisi lowasa was trying to test his power ndani ya chama tena kwa mtu mkubwa kabisa ndani ya chama, ndiyo, TRICK.

Trick kikwete:
Mr president naye amelijua ilo and by what he decided bila shaka it is true ata yeye hawezi kushindana na nguvu ya lowasa ndani ya chama kwa sasa, though hana uhakika that why kama kawaida yake akamtuma pinda as always so in case of back fire from other "wana-run-for-preident-2015" guys asiwe mwenye lawama(PATA PICHA KICHWA CHA HABARI MWANANCHI, "KIKWETE AMSAPOTI LOWASA, AUNDA TUME"). UPEPO.

So?
Kama upepo hautabadlika, tena hautabadlika sana then kuna uwezekano mkubwa sana kikwete akamsapoti lowasa.

JUST A THOUGHT NOT A FACT

Thats true Mkuu! Na hakuna siku Mr. EL amem- criticize Mr. Presda openly. Wakati wote Mh. EL amekuwa akisema serikali yetu chini ya raisi ambaye anafanya kazi kubwa sana ya kuleta maendeleo, na mambo mazuri kuhusu yeye.

Hii inanipa kutafakari kwa makini nini maana ya muelekeo huu kwa mustakabali wa Mh. EL kuhusu uraisi. Najiwa na fikra kwamba kinacho endelea sasa katika siasa za CCM ni kutuliza munkari kwa wale wote wanao mpinga EL. Na mambo yaje kujitokeza kwa kushtukiza siku chache kabla ya uchaguzi, wapinzani wake wakiwa hawakujiandaa kupambana na Mh. EL.

Nina uhakika kwamba mchezo unao chezwa sasa ni kuwahadaa wapinza wake, ikiwa ni pamoja na vyama vya upinzani ambavyo wanaijuwa nguvu ya Mh. EL.
 
Hili la elimu halina haja ya tume,walimu wanadai hela zao hawajalipwa hadi leo,shule za kata hazina walimu wala maabara then tume ya nn kama sio weu wa kisiasa na mvinyo wa urais 2015
 
Hili la elimu
halina haja ya tume,walimu wanadai hela zao hawajalipwa hadi leo,shule
za kata hazina walimu wala maabara then tume ya nn kama sio weu wa
kisiasa na mvinyo wa urais 2015

Hayo mapendekezo yatakayoibuliwa na Tume yatafanyiwa kaz basi Mkuu,huu ni ufujaji mwingne wa fedha za umma..
 
Hili la elimu halina haja ya tume,walimu wanadai hela zao hawajalipwa hadi leo,shule za kata hazina walimu wala maabara then tume ya nn kama sio weu wa kisiasa na mvinyo wa urais 2015

Uko sahihi sana mkuu, hizi tume ni misuse of resources (pesa za wavuja jasho wa Tz)
 
Hata akimsapoti kwa sasa sio deal, kwanza kama kweli Lowasa anataka kuwa raisi wa Tz, is better akawa mbali na huyu raisi wa sasa, kwa nini ufungamane au utafute kuungwa mkono na mtu ambaye ameprove failure, kwa watu wenye akili timamu watakukimbia maana role model wako huyo dhaifu it means na wewe hautakuwa na jipya.
 
Lipi jema kwetu Watanzania, mumetoa maoni yenu kuwa tume iundwe ichunguze matokeo, tume imeundwa, sasa lugha zimebadilika kuwa Rais amesikiliza ushauri, mlitaka asisikilize? at least we need to appreciate kuwa serikali inasikiliza maoni ya watu siyo kuanza kuongea negatively. Lipi jema sasa kwetu, au tulitaka tume isiundwe kuchunguza matokeo?
 
Sijakuelewa vizuri, kwamba kwa sababu Lowasa ametoa tamko kwamba iundwe tume ndio kumaanisha kuwa bado ni rafiki kwa JK na kwamba atamsupport 2015?, au ulitaka kumaanisha nini?
 
Lowasa ana watu wengi tu ndani ya serikali na wanaowazunguka viongozi wakuu serikalini akiwemo yule Salva Rweyemamu wa Ikulu. Kila wanaloongea viongozi hawa linamfikia Lowasa muda huohuo. Lowasa akilipima akaona litamsaidia kuongeza umaarufu wake kwa ajili ya 2015, anakuwa wa kwanza kulisema ili hata likifanyika ataonekana yeye ndie kalianzisha!
 
It is a clear fact there was a politics when ana make that request, in kind of situation iliyopo to make such a open request like that ni trick politics to test something. Iyo ndio ilikuwa point yangu idea ya tume inaweza kuwa soln or not that is another thread but without gossip or anything of that kind unaweza kusoma some vivid facts.
 
Hili la elimu halina haja ya tume,walimu wanadai hela zao hawajalipwa hadi leo,shule za kata hazina walimu wala maabara then tume ya nn kama sio weu wa kisiasa na mvinyo wa urais 2015
naam; kweli kabisa waboreshe maisha ya waalimu harafu waone matokeo yake hivi unaweza kuunda tume ya kumchunguza ng'ombe asiyeshiba eti kwa nini hatoi maziwa ya kutosha?
 
Hili la elimu halina haja ya tume,walimu wanadai hela zao hawajalipwa hadi leo,shule za kata hazina walimu wala maabara then tume ya nn kama sio weu wa kisiasa na mvinyo wa urais 2015
Si wawaite tu wakuu wa shule za private zilizoongoza na kuwauliza wanatumia mikakati gani, watoto wanasikiliza clouds au vipi, watoto wanaenda bush party au vipi, watoto wanaenda club usiku au vipi, walimu wanalipwaje, madeni yao je, wanalala wapi na kama wanashinda na njaa, vitabu je, maabara je,nk.
 
Umemalizia vizuri sana , kwamba kumbe ni mawazo yako tu , Lakini naomba nikuambie kitu kimoja , hata CCM Ikiweka Fungu la Wagombea , achilia mbali Huyo Fisadi Lowasa , muda wa hicho Chama kwa Nchi hii umekwisha ! Inauma sana lakini ndiyo ukweli .
 
Kuwa na CCM MOJA kuelekea 2015 Kikwete lazima awe kotekote ili amalizie ngwe yake salama!

Hata Salim A.Salim amewekwa pale kwa lengo hilo hilo!

Mwisho kabisa mdhaniye siye ndiye na Mr President anajua nani atafata na this tym itakuwa siri kweli kweli!!!!
 
Refer
Juzi mbunge wa Monduli alifanya press conference akizungumzia mambo mengi but specific asked mr president aunde tume to investigate form four results. Specific and Open request.

Meaning:
There has been rumors Kikwete and Lowassa hawapatani, if it is true, then where did Lowassa get the courage to make a this specific and open request???

On my view nahisi Lowassa was trying to test his power ndani ya chama tena kwa mtu mkubwa kabisa ndani ya chama, ndiyo, TRICK.

Trick Kikwete:

Mr president naye amelijua ilo and by what he decided bila shaka it is true ata yeye hawezi kushindana na nguvu ya Lowassa ndani ya chama kwa sasa, though hana uhakika that why kama kawaida yake akamtuma Pinda as always so in case of back fire from other "wana-run-for-preident-2015" guys asiwe mwenye lawama(PATA PICHA KICHWA CHA HABARI MWANANCHI, "KIKWETE AMSAPOTI LOWASSA, AUNDA TUME"). UPEPO.

So?
Kama upepo hautabadlika, tena hautabadlika sana then kuna uwezekano mkubwa sana kikwete akamsapoti lowasa.

JUST A THOUGHT NOT A FACT

Kwani wewe ni raia wa nchi gani?maana hueleweki sijui ni kabila gani vile?
 
Back
Top Bottom