ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
- Thread starter
-
- #21
na hapa tena mie naedelea kulima anaetaka kunijoin tulime wote karibu mambo yakiwa mazuri na stress zikiisha tunavuna wote na tunakula wote.
ladyfurahia ili dunia ipendeze ni lazima kuwe na hali tofauti, tukiwa wote wapole mambo hayatanoga, tukipendana wote kwa dhati hakutakuwa na changamoto. kumbuka hata Mungu aliamua kuufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili tu kunogesha mambo kwa kupata changamoto. Binafsi naamini haya mambo yapo ili dunia iwe na changamoto.
....
Usiwe na wasi!!
Yule haitaki signature yangu, thus why kaquote asipoqotiwa!
Hahahahahahahaaaa!
Afu kuna jamaa mwengine naipenda sana signature yake, nimeisahau! Sjui inasema 'mashairi ya malenga... Kama finyefinye... Ziba mku.ndu usinye' aaagh imenipotea, kama vipi ukiiona sehemu asisite kunistua!
NB: Hiyo signature ni yakuchekesha tu, haina ujumbe wowote!!!!!
Umeongea vizuri dada ladyfurahia upendo ni jambo la mbolea katika jamii.
....
Usiogope bure dada yangu, mwenzio Avatar na Signature vinanimaliza! Nawezanunua mbuzi ndani ya kiroba hivi hivi!
Nisamee bure!
Hata mi kuna signature ya fulani naipenda sana inasema "Kama huna la kusema nyamaza kimya,usishindane na tembo kunya utapasuka mku***du " ha ha ha :smile-big:....
Usiwe na wasi!!
Yule haitaki signature yangu, thus why kaquote asipoqotiwa!
Hahahahahahahaaaa!
Afu kuna jamaa mwengine naipenda sana signature yake, nimeisahau! Sjui inasema 'mashairi ya malenga... Kama finyefinye... Ziba mku.ndu usinye' aaagh imenipotea, kama vipi ukiiona sehemu asisite kunistua!
NB: Hiyo signature ni yakuchekesha tu, haina ujumbe wowote!!!!!
ushaanza na wewe umetaka wmwenyewe kuniuzia sasa waitoa kwa mwingine kwaninje?
Hata mi kuna signature ya fulani naipenda sana inasema "Kama huna la kusema nyamaza kimya,usishindane na tembo kunya utapasuka mku***du " ha ha ha :smile-big:
Afu we mi nakufananisha na mtu fulani hivi waongea kama yeye!....
Duh! Mbona hii inamafumbo?
Aaka! Majina ya kanga mi siyawezi!!!!
na hasa ukimpata akupendaye nashukuru kwa comment yako bestito nimekupendaje?
na hasa ukimpata akupendaye nashukuru kwa comment yako bestito nimekupendaje?
ladyfurahia ili dunia ipendeze ni lazima kuwe na hali tofauti, tukiwa wote wapole mambo hayatanoga, tukipendana wote kwa dhati hakutakuwa na changamoto. Kumbuka hata mungu aliamua kuufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili tu kunogesha mambo kwa kupata changamoto. Binafsi naamini haya mambo yapo ili dunia iwe na changamoto.
hao manyau sijui kama wana mungu
maana ukimuona usoni utasema mtu kumbe rohoni
hata mkuu wa mashetani hamfikii,asante lady furahia
kwa ujumbe nadhani wenye roho za kutu wameisoma namba
na kama kujirekebisha wajirekebishe,wasipende kulazimisha
vitu visivyowezekana ambavyo kwao itabakia kua ndoto daily!!
hahaha kweli kabsaaa, ila we unafaa kua mshairi au mtunz wa vitabu.,mtafute kaka shigingo erick akupe mwongozo .........
hongera bi dada nami nataka copy ya hiko kitabu nikisome nikuze knowledge yangu...Itabidi uniwekee na signature pia ladyfurahiabesti hujui kuwa mm ni mwandishi wa vitabu
na nimebobea katika fani hiyo ya uandishi na
isitoshe nilishawatafutaga waaandishi waliobobea
wakanipa somo ndo maana waniona niko hivi
mbona nimeshatoa kitabu kinachohusu woga besti
na kipo madukani kinafanyiwa kazi
Ni jambo zuri na adimu kwa watanzania kufikiria kutoa vitabu kwa yale wanayopenda wengine wajifunze. Napenda niwe pamoja na wewe ktk kila hatua za kufanikisha hicho kitabu kinakamilika. sitaki kuwa nyuma yako wala mbele yako bali niwe bega kwa bega na wewe ikiwa hutajali..Itabidi nitoe kitabu kwa kwelil maana nimejifunza mengi kupitia hii dunia bestito
thanks my cousin
ujumbe wako kuleeee naufanyia kazi ondoa shaka