ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
napata tabu kweli kukuelewa...cjui mawenge yangu au maandko yako.?
napata tabu kweli kukuelewa...cjui mawenge yangu au maandko yako.?
Hay mabestito wangu wa ukweliiiiiiiiiiii
Ugweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kajisemea lara 1
Uhiari ni jambo la msingi tena ni kitu adimu ambacho
huwezi kupata sehemu yoyote ile hata kama utakaangwa
saana na kutobolewa hata macho huweizi pata hiari.
Je marafiki zangu ninyi mmewahi kuona?
:A S kiss:Waswahili wanasema kuwa: "HIARI YASHINDA UTUMWA"
Katika maisha binadamu twajifunza mambo mengi na hasa
twajifunza kuishi na kila aina ya watu, wako ambao ni wapole
na hawana matatizo na watu lakini ukiwaangalia kwa utu wao
wa ndani ni majinamizi na machui ya kutupa, wako wengine
ni waungwana na wastaarabu na hawapendi kuwauizi wenzao
Wako watu manyang'au wapendao kugombana na kila mtu ilimradi
tu wao kwao wanaona sifa sana kuwachokoa wengine na
wanabaki kucheka kwa kebehi huku wakiwachora na kujiona kuwa
wamewaweza na kumbe nafisini wanajidanganya.
Sasa naamini kuwa WE DIFFER kwanije kumsarandia nduguyo
hivyo kwanije kuona FAHARI juu ya jambo ovu umfanyialo
Hata Mungu wa mbinguni hapendi hivyo anapenda kuona
TWAPENDANA so usiwe chokoraa kwa mwenzako
Sio busara hata kidogo wala uungwana kidogo kuona mwenzio
anakuwa mtu wa stress nyingi na pain za kila aina huku wewe
ukujigamba kuwa umempata. Wanadamu tunaishi kwa masaidiano
na kupendana ndo maisha yalivyo kwa kila mtu. Wewe unafurahi
mwenzio hakikosa na akiparaganyika moyo? Hayo sio maisha
mema umtakiao mwenzako. Ni busara sana kuwa peace & love
na sio kuwa watu wa kisomaria somaria. Mpendwa muone
mwenzako ni bora na mwema kwako na UMPENDE kama alivyo.
Wasalaamu:
Ladyf
cc: Mtambuzi, Bujibuji, Madame B, madame A, Chocs, amu, Heaven on earth, Nicas Mtei, Arushaone, Erickb52, Mr Rocky, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, Passion Lady, Lady doctor, Ladywise, FirstLady, babamkubwa kubwa lao watu8, mathematics, MKALIwakitaa, Chimbuvu, my cousin wa ulweli charminglady, Lady Unbreakable, grafani 11, chocco, Kizito Kabwela, Pasco, Bishanga, sosoliso, Paloma, Mwita Maranya, Bagga, figganigga, Liverpool, Filipo, Preta, @Fp, na marafiki zangu niliowasahau mjengoni humu mnisamehe twangeni yenu yaliyo moyoni
N.B: Mamods naomba msimuvuzishe/kuclose ovyoovyo
hii threads jaamani mbona mwanitakiani? nimesema:A S kiss::A S kiss:
My wii ni kweli usemayo
Ila siku hizi watu wanaishi kisanii sana..yaani kinafki mtu anakupa tabasamu la plastik kumbe roho yake ptuuu nyeusii tii
"mpende jirani yako kama nafsi yako" siku hizi hakuna tena tunasemea tu kwenye nyumba za ibada...
Mungu na atusaidie tuishi kwa upendo tena wa agape..Amen
Dada yangu ladyfurahia nakupa pongezi kwa kuwa hodari sana wa kupangilia mistari yenye udhui mzuri.
Ni kweli kabisa tunapaswa kuishi kwa amani na upendo sio kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa,
Walio wengi siku hizi hujivisha ngozi ya kondoo,TUPENDANE JAMANI
Nikuuzie signature yangu bas!!!!!!
Afu bidada nimekupenda bureeee!
Tubadilishane signature bas!!!!!
Asante kwa kunipenda mwaya "sasa utabadilishana signature na wangapi?"maana ushatoa offer ya kumuuzia yako ladyfurahia....Afu bidada nimekupenda bureeee!
Tubadilishane signature bas!!!!!
Dada yangu ladyfurahia nakupa pongezi kwa kuwa hodari sana wa kupangilia mistari yenye udhui mzuri.
Ni kweli kabisa tunapaswa kuishi kwa amani na upendo sio kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa,
Walio wengi siku hizi hujivisha ngozi ya kondoo,TUPENDANE JAMANI
Asante kwa kunipenda mwaya "sasa utabadilishana signature na wangapi?"maana ushatoa offer ya kumuuzia yako ladyfurahia....
heee jamani yamekuwa hayo tena
Asante kwa kunipenda mwaya "sasa utabadilishana signature na wangapi?"maana ushatoa offer ya kumuuzia yako ladyfurahia....