GE2025 Notisi ya uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi Wa uchaguzi ya mwaka 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,234
NOTISI YA UTEUZI WA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI
WA UCHAGUZI YA MWAKA 2025

Jina 1. Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Uteuzi wa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa
Uchaguzi ya Mwaka 2025.

Uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi

2. Watu ambao majina yao yanaonekana katika Jedwali la Notisi hii wameteuliwa kuwa wasimamizi wa
uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi katika majimbo ya uchaguzi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Attachments

Wameteuliwa na nani tena? Wakati tulikubaliana ushirikishwaji?
 
NOTISI YA UTEUZI WA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI
WA UCHAGUZI YA MWAKA 2025

Jina 1. Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Uteuzi wa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa
Uchaguzi ya Mwaka 2025.

Uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi

2. Watu ambao majina yao yanaonekana katika Jedwali la Notisi hii wameteuliwa kuwa wasimamizi wa
uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi katika majimbo ya uchaguzi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Uchaguzi upi?
 
Back
Top Bottom