Notisi ya Alex Msama kwa wafanyakazi wake

Notisi ya Alex Msama kwa wafanyakazi wake

kilimanjaro1

Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
13
Reaction score
6
IMG_20170202_125812_019.JPG
 
Siku hizi TV ziko nyingi sana, hadi za kichawi.. zimo, Oohh
 
Huyu baba namuonaga km tapeli flani hivi
Huyu mzee ni TAPELI kilakona wanalia nae, tatizo nikwamba anafanya mambo kama hakuna serikali na kujitamba yakwamba ukienda mahakamani yeye michezo yote ya mahakama anaijua so atakushinda tu....!
 
Sasa si mumpeleke polisi humu JF sidhani kama ni solution nzuri sana kwa hili
 
Kwanza ungeandika LETTER HEAD na siyo LATTER HEAD. Pili kwa lugha nzuri ungesema kuwa barua haina HEADING.
 
Naam mwisho wake umekaribia. Hivi mnajua hata ndagu zinaishaga nguvu eeeehhh!
Wakuu msiwaone watu wanapendeza mujini mkawatamani maendeleo yao.
Hayaaaa twendee,namba imeanza kusomekaaa
 
Jaman hiyo siyo notce ni Tangazo notce inatolewa kwa mtu binafsi si kwa wafanyakazi wote kwa ujumla japo tangazo linaupungufu wa kueleza tu ni nani kaandika vingine viko sawa kumbuka kutokana n tangazo wahusika walikaa kikao so wanajua nini kilizungumzwa nafikiri hivyo
 
mambo yakiwa mazito anaikana "notice" au sio..
 
Back
Top Bottom