Notification kwa upwork sioni Bora freelancer(Nipe advantage za upwork)

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,287
Reaction score
1,855
Yaani unaambiwa wanao apply kwa kutuma proposal ni wengi balaa, project moja unakuta proposal mia mbili nakuendelea kadri muda unavyozidi kwenda.

So swala muda ndo muhimu kuwa active muda wote na kudaka project kwa upwork ila kiukweli kule freelancer ni pazuri kwa kuwa kila baada ya sekunde project inayorelate na professional yako ndo unapokea notification inakuwa rahisi kuwahi.

Mimi nilizoea Fiverr zaidi.

Nafaka
Je hii notification feature ipo upwork?
 
Upwork imevamiwa sana mkuu na watu wanafanya kazi cheap yani kazi ambazo tulifanya kwa dollar 100 siku hizi watz wanazifanya kwa dollar 10.
Mimi nipo tu kwa projects nazokuwa invited na clients wa zamani tu hata kubid nimeacha.
Halafu kumejaa scammers kama freelancers. Upwork ilikuwa clean ila sasa naona post nyng za scammers wengine hadi wanakutumia invitation
 


Fiverr ilikuwa inanisave but nilikosa passport baada ya kuonekana napata kiasi fulani basi ikabidi niache kwa muda nikijua watalegeza kuja kucheki account imepigwa burn/disabled nikamtafuta jamaa flani kanipa snap ya passport niweke ile nachange jina lifanane na lililo kwa passport option ipo ila haikubali, profile picha ndo inayokubali kubadili Enh si niliamua sajili mpya na gig ipo lakini ni kama nimeanza upya


Aiseh!, Acha tukalime mahindi HAHAHAHA
 
Aiseh!, Acha tukalime mahindi HAHAHAHA
Hahaha siku hizi nafanya sana individual projects za agency zaidi huko upwork naingiaga tu kupga project zinazoendelea mwaka wa pili tu.
Hapana mkuu labda uwe invited na wao wanatuma notification mara moja kwa siku za project wanazohisi inaendana nazo. Kwa notifications hawako vizuri mimi notification zote nazotumiwa haziendani nami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…