Big Man Kontawa
Member
- Aug 28, 2021
- 36
- 113
Hii ni kinyume na kanuni za kiuchumi, hadhi inakuwa imeporomoka zaidi.Hii itaweza kurudisha hadhi ya hela yetu kiasi fulani,
Naunga mkono hoja.Habari ndugu zangu.
Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, thamani ya pesa yetu imeshuka pia. Noti moja ya sh. elfu kumi si kitu tena.
Ata ukienda dukani tu kwa muha kununua mahitaji ya nyumbani elfu kumi inakatika kwa vitu hata mkononi havijai. Mimi binafsi huwa najitahidi kununua mahitaji ya nyumbani kwa pamoja kama vyakula hvo natakiwa kwenda kwa muha na noti za elfu kumi kumi kuanzia kumi na mbili na zaidi.
Binafsi naona kuna umuhimu wa kuongeza noti za elfu hamsini na laki moja kwenye hela zetu. Hii itaweza kurudisha hadhi ya hela yetu kiasi fulani, ukiwa na noti moja ya elfu hamsini huna wasiwasi inaweza kufanya mambo mawili matatu bila tatzo tofauti na hzi elfu kumi. Pia itapunguza ulazima wa kubeba manoti mengi kwa matumizi ya kawaidi tu.
Twende mara ngapi...... Hamsini na mia zimepotea kabisa mtaaani....Wewe unataka kutupeleka Zimbabwe
Nenda na dukani kwa Mangi wewe Mpare🤣Tatizo lako ni kwenda dukani kwa "Muha" next time jaribu kubadilisha duka.😁😁
Kumbe tuko Zimbabwe na hamusemiTwende mara ngapi...... Hamsini na mia zimepotea kabisa mtaaani....
Sasa kaka...Ukienda na uteni dekani Sukari kilo, Maharage kilo, Mchele kilo mafuta ya kula fanta Moja tu 😂😂😂 Hela imeisha. Elfu kumi haupati nguo pili labda chupi na vesti/kawoshi .... Kiatu ndio haupati kabisaaaa... Hii Hela ni toilet paper kama Idd Amin alivyoambiwa....Kumbe tuko Zimbabwe na hamusemi
Bora Kwa Muha kuliko Kwa Mangi au Mpemba.....Tatizo lako ni kwenda dukani kwa "Muha" next time jaribu kubadilisha duka.😁😁
Money devaluation.Habari ndugu zangu.
Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, thamani ya pesa yetu imeshuka pia. Noti moja ya sh. elfu kumi si kitu tena.
Ata ukienda dukani tu kwa muha kununua mahitaji ya nyumbani elfu kumi inakatika kwa vitu hata mkononi havijai. Mimi binafsi huwa najitahidi kununua mahitaji ya nyumbani kwa pamoja kama vyakula hvo natakiwa kwenda kwa muha na noti za elfu kumi kumi kuanzia kumi na mbili na zaidi.
Binafsi naona kuna umuhimu wa kuongeza noti za elfu hamsini na laki moja kwenye hela zetu. Hii itaweza kurudisha hadhi ya hela yetu kiasi fulani, ukiwa na noti moja ya elfu hamsini huna wasiwasi inaweza kufanya mambo mawili matatu bila tatzo tofauti na hzi elfu kumi. Pia itapunguza ulazima wa kubeba manoti mengi kwa matumizi ya kawaidi tu.
Uganda long time wana noti za 50k na 100kHabari ndugu zangu.

Hiki siyo kitu kizuri kabisa kiuchumiUganda long time wana noti za 50k na 100k
Hao watu waliokutusi huenda walikuwa wako sahihi.Niliandika hili wazo wanaojiita wataalamu wa uchumi wakanitusi hapahapa jf.
Inshort wachapishe noti mpya ya elfu 20 na elfu 50. Kwa hali ya sasa ya kimaisha
Tusifiche uhalisia wakati uhalisia unajionesha maisha yamepanda bei sana sana