Noti bandia

Noti bandia

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
7,947
Reaction score
15,708
Kwa kweli kutokana na kuzunguka dunia na kujikuta sehemu mbalimbali ambapo hata unapoenda kununua kitu na kutumia fedha taslimu, unajikuta noti uliotoa kumpa muuza duka au cashier, lazima kwanza aichunguze kwa aidha kuweka kuiweka kwenye machine ya kutambua noti ni halali au kuwa na kalamu ya kuchora kwenye noti ambayo kama bandia wino utatokea lakini kama halali hautotekea na wala haionyeshi kama imechora...

Huu utaratibu ulinikwaza sana wakati nikiwa mgeni kwenye haya mataifa, na kudhani kwa kuwa mimi ni mmatumbi mweusi, kwa hiyo hiki kitendo kinafanywa tu kwa sababu hiyo, kwa maana hatuaminiki...
Na hutokea kwa noti kuanzia ya 10, 20, mpaka 50 kwa Ulaya, au kwa wenye noti za 100 kama US....

Lakini kadiri maisha yanavyosonga, pia unajikuta kwenye tukia ambapo mzawa anatoa noti kwa malipo na yeye za kwake zinachunguzwa kama halali au bandia kama yaliyonitokea, ndio nikajua jinsi mifumo yao ilivyo makini kutoweza kupenyeza noti bandia katika mzunguko.

Sasa tuje kwetu, kwa kweli sijawahi hata siku moja maisha yangu yote, kuona mpokea hela iwe dukani, ofisini au mmachinga barabarani, anachunguza pesa zangu kwa kuziamgalia kama ni halali au bandia, kwa maana hiyo basi mzunguko wa pesa nchini umejaa noti bandia za kutosha na inaweza hata kuwa ni robo au nusu ya uchumi wote wa mzunguko wa pesa unahusisha noti bandia....

1763928761098.png

au mmachinga
 
Father mimi nazihitaji tufanye biashara. Hela ni hela cha kuzingatia afu kumi lazima iwe na Tembo
Afu Tano lazima iwe na kifaru
Afu mbili lazima iwe na simba
Halafu afu moja iwe na picha ya Nyerere akiwa ametabathamu.

Hata kama upande mwingine iwe nyeupe haina shida nitajua namna ya kuitumia.
 
Kwa kweli kutokana na kuzunguka dunia na kujikuta sehemu mbalimbali ambapo hata unapoenda kununua kitu na kutumia fedha taslimu, unajikuta noti uliotoa kumpa muuza duka au cashier, lazima kwanza aichunguze kwa aidha kuweka kuiweka kwenye machine ya kutambua noti ni halali au kuwa na kalamu ya kuchora kwenye noti ambayo kama bandia wino utatokea lakini kama halali hautotekea na wala haionyeshi kama imechora...
Huu utaratibu ulinikwaza sana wakati nikiwa mgeni kwenye haya mataifa, na kudhani kwa kuwa mimi ni mmatumbi mweusi, kwa hiyo hiki kitendo kinafanywa tu kwa sababu hiyo, kwa maana hatuaminiki...
Na hutokea kwa noti kuanzia ya 10, 20, mpaka 50 kwa Ulaya, au kwa wenye noti za 100 kama US....
Lakini kadiri maisha yanavyosonga, pia unajikuta kwenye tukia ambapo mzawa anatoa noti kwa malipo na yeye za kwake zinachunguzwa kama halali au bandia kama yaliyonitokea, ndio nikajua jinsi mifumo yao ilivyo makini kutoweza kupenyeza noti bandia katika mzunguko.

Sasa tuje kwetu, kwa kweli sijawahi hata siku moja maisha yangu yote, kuona mpokea hela iwe dukani, ofisini au mmachinga barabarani, anachunguza pesa zangu kwa kuziamgalia kama ni halali au bandia, kwa maana hiyo basi mzunguko wa pesa nchini umejaa noti bandia za kutosha na inaweza hata kuwa ni robo au nusu ya uchumi wote wa mzunguko wa pesa unahusisha noti bandia....

View attachment 3506537
au mmachinga
Bongo tunaaminiana hakuna pesa bandia
 
We ni mshamba tu,
Shaq o Neal juzi tu hapo moja mgahawa wake kaingia kulipia msosi wake ela yake ikapigwa tochi.akacheka saana
Hawajui km huyo ni mmiliki
Siku ingine alilipa Cash kununua restaurant ingine baada muhudumu kumsumbua..
Hela Sabuni ya roho
 
Hujui effect ya pesa bandia kwenye uchumi we boya ? , Hivi mnajua effect za mfumuko wa bei kwa wananchi ? Vichwa Maji zero brains
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom