Ukiangalia alivyovaa nusu na hapa alivyovaa kamili, inaonyesha ni jinsi gani ilivyo muhimu kwetu kuvaa kulingana na maumbo/umri, si kila mtu akivaa bikini atapendeza na kuvutia kama tulivyomuona Serena William siku mbili zilizopita. Queen hapa amechusha na ingefaa aachane kabisa na hivyo vibikini pamoja na dada zetu waliojaliwa miili ya aina hiyo