Notebook (computer)

Notebook (computer)

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Hi guys,

Kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata genuine notebook: 2gb RAM, from 1.5 GHz, at least 250gb HDD (add more specs) kwa bei ya kawaida anipe habari tafadhali. Mdogo wangu anahitaji, nataka nimnunulie. Brand nzuri tafadhali sio accer na zingine zinazofanana nazo.

Baada ya kupata taarifa nitaenda mweneyewe hiyo sehemu.
 
Back
Top Bottom