100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,704
- 38,358
Kama una OTG cable ni vizuri uta by pass bila tatizo au azima kwa mtu.toa msaada utabarikiwa tu. litendee haki jukwaa hili nyeti. au unataka liwe butu kama la wanasheria.
Sim haina hata siku moja nimetoa dukani ikiwa nzima sasa imejifunga hivi. Maelezo ya google mengi ni kuiflash mwenye njia mbadala au namna naweza kuiflash mwenyewe nilipo hakuna fund huyo nina PC + BUNDLE, USB, MODEL N920T, ANDROID 7.0.
Nashindwa kuitumia odin na namna ya kuidownload firmware. Nahitaj wa kunieleza kwa link husika.
HUMU SIJAWAI KUKOSA TIBA! forum inayotendewa haki.
Kama una OTG cable ni vizuri uta by pass bila tatizo au azima kwa mtu.
Kinachofanyika hapa ni kudownload hili apk file hapa.
Katika computer yako.
Then uwe na flash.Chomeka OTG cable kwenye simu halafu chukua apk file toka kwenye pc na weka kwenye flash drive yako.
Chomeka flash drive kwenye otg cable then
Simu yako ita detect automatically files zilizopo kwenye flash lakini hakikisha lile file hujaweka ndani ya files zingine.
Chagua ile apk file kwa ku tap.
Simu itakupa warning ila bofya kwenye settings na nenda kaiwezeshe kwenye uknown resources.
Baada ya hapo endelea na installation mpaka imalize.
Then baada ya kumaliza Bofya open na endelea na setting menu.
Chomoa otg cable.
Endelea na setting menu na factory reset simu yako.
Its done.
Nilijaribu na kunipa majibu so so do it.
Sim haina hata siku moja nimetoa dukani ikiwa nzima sasa imejifunga hivi. Maelezo ya google mengi ni kuiflash mwenye njia mbadala au namna naweza kuiflash mwenyewe nilipo hakuna fund huyo nina PC + BUNDLE, USB, MODEL N920T, ANDROID 7.0.
Nashindwa kuitumia odin na namna ya kuidownload firmware. Nahitaj wa kunieleza kwa link husika.
HUMU SIJAWAI KUKOSA TIBA! forum inayotendewa haki.
ulipewa warranty ya muda gani na tokea ununue umepita muda gani?nilinunua dukan nikaenda mkoan tena mbali tena ikiwa vizuri. lakin ngoja nijarib utaalam wa mdau Njunwa.
Flashing does not solve the problemSim haina hata siku moja nimetoa dukani ikiwa nzima sasa imejifunga hivi. Maelezo ya google mengi ni kuiflash mwenye njia mbadala au namna naweza kuiflash mwenyewe nilipo hakuna fund huyo nina PC + BUNDLE, USB, MODEL N920T, ANDROID 7.0.
Nashindwa kuitumia odin na namna ya kuidownload firmware. Nahitaj wa kunieleza kwa link husika.
HUMU SIJAWAI KUKOSA TIBA! forum inayotendewa haki.
N U 2.Nashukur sana mtaalam simu imepona kwa njia yako. Imebid fund wa kuflash atafutwe na maelezo yake ni kama yako. Kaweka firmware nyingine ya N920T lakin T mobile. Ilichoniudhi hii ni icon ya data kupatikana ndan badala ya kwenye shortcut notificatin bar. Pia wakat wa kuiwasha lazma ilete neno T mobile. Ubarikiwe.