Note 3 Clone " fair price "

Note 3 Clone " fair price "

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
New in box with all accessories @ 270000 call 0712868178
 
Too fair to be clone....
Picha tafadhali na specs maana hata clone have classes
 
Hizi bei za clone zinashusha hadhi ya products kama Galaxy S4 na Note.

Unakuta mtu ana li-clone lake ila nae ana jitutumua kuwa na Note mkononi.

Bora sie wenye iPhone atukutani na ujinga wa aina hiyo.
 
Hizi bei za clone zinashusha hadhi ya products kama Galaxy S4 na Note.

Unakuta mtu ana li-clone lake ila nae ana jitutumua kuwa na Note mkononi.

Bora sie wenye iPhone atukutani na ujinga wa aina hiyo.

Mkubwa hata iPhone wapo jamaa wanauza clone. Nimekutana na mmoja juzi pale Morocco TOTAL anataka laki 9 ana 5s.
Bahati nzuri mi natumia iphone ingawa 4s nikaanza kuikagua ya kwake nikakuta vitu kibao kimeo ila ukiiona lazima uvue kofia. Cha kuchekesha nikaanza kumzingua nna laki 5. Akayumba yumba kisha akasema "Toa hela nikuachie simu"
Dadeq.... Nilikimbia kama mwizi.
Jamaa kashuka toka 900 mpaka 500.
Duuuuuh.
Aliishia kuona vumbi tu pale Morocco
 
why lying to urself that u have orignal galaxy and other orignal products y u knw for sure its fake???lets change guys!!! no need to buy this dumb fadgets..
 
why lying to urself that u have orignal galaxy and other orignal products y u knw for sure its fake???lets change guys!!! no need to buy this dumb fadgets..

Its people's preference.
 
Its people's preference.

People's preference?! Do u really know the consequences of using those clone phones? Starting with personal health towards polluting the environment during the time of disposition of those clone phones?
 
Mkubwa hata iPhone wapo jamaa wanauza clone. Nimekutana na mmoja juzi pale Morocco TOTAL anataka laki 9 ana 5s.
Bahati nzuri mi natumia iphone ingawa 4s nikaanza kuikagua ya kwake nikakuta vitu kibao kimeo ila ukiiona lazima uvue kofia. Cha kuchekesha nikaanza kumzingua nna laki 5. Akayumba yumba kisha akasema "Toa hela nikuachie simu"
Dadeq.... Nilikimbia kama mwizi.
Jamaa kashuka toka 900 mpaka 500.
Duuuuuh.
Aliishia kuona vumbi tu pale Morocco

Clone za iPhone zinakuwaga ngumu linapokuja suala la kurun iOS, hapo walishashindwa, unakuta nyingi zinarun JAV, sasa iPhone na java ni vitu viwili tofauti, ndiyo maana watengeneza fake wanakimbilia samsung ambao wanatumia Android; na wanajitahidi sana, mpaka ung'amue tofauti unatakiwa uwe unazijua hasaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom