North Korean Kids Performance

North Korean Kids Performance

kumbe hawa jamaa ni binadamu wa kawaida kabisa
 
We have many things to learn from North Korea



Kaka Zamani walikiwa na kituo chao cha Utamaduni wa Watu wa Korea, pale Lumumba kilikuwa kinapakana na Umoja wa Vijana,
Kulikuwa na shule za Muziki, kuimba kupiga vyombo (Ala) za Muziki karibu zote, halaiki nk
Pia kulikuwa na sinema na vitu vizuri walikuwa wanawafunza Watoto wa Tanzania, Watoto wa Chipukizi na Scout walikuwa hawakauki hayo maeneo
 
Watoto wadogo sana kuwachezesha choreography hivyo ni kuwaabuse tuwanakosa mda wa kucheza as kids ....AF inaonesha DRPK imekua karibu sana na CCM toka zaman

Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa abuse au kuwajengea uwezo? wewe endelea kuwajaza wanao mayai ya kisasa huku ukiendelea kusubiri wakue ili usi wa abuse.
 
We have many things to learn from North Korea


Nimebadilisha mawazo ntaoa North korea.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
wao wanafundisha uzalendo watoto wao, sisi tunalazimishwa kuwa wazalendo vitu viwili tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom