North korea

Mkuu umenifanya nitabasamu ila baada ya tabasamu ikafuata huzuni kubwa ,kweli sisi mazuzu
kutawaliwa na ccm na kutawaliwa na ukoo mmoja kuna tofauti kubwa, kwani ccm mtu yeyote unaweza ukajiunga kama una kipaji cha siasa utapanda na unaweza kuja kua diwani, mbunge, waziri au hata rais
ukoo mmoja ni kuwa utawala ni exclusive kwa watu fulani tuu
 
Mkuu hilo nalifahamu vizuri ,nilichotaka kujua tofauti ya hao wanaosema zidumu fikra za mwenyekiti hata kama wamechaguliwa kutoka matabaka ,kabila,hadhi tofauti ,mimi sioni tofauti yeyote na hao north Korea
Kwa sababu utawala wa ccm ni utawala usiopenda kukosolewa ,ni tabaka linalojiona bora kuliko watanzania wengine ,ukipishana nao mwisho wake ni matusi ,sitaki kukumbuka ya uchaguzi uliopita ila Lowasa alisababisha Watanzania tukaitwa malofa na wapumbavu kisa kaondoka ccm
 
hawa raia wa hii nchi wana uzalendo mpaka kupitiliza kwa nchi yao na kiongozi wao. ebu jionee documentary iliyochukuliwa na kituo cha RT kutoka urusi kwa siku kumi.

5xsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…