North Korea yarusha kombora

Mbona hayo machumachuma yapo mpaka Kesho!
Manowari za Marekani bado zipo hapo Korea
Mbona makumi ya miaka yamepita na hawajarusha hata jiwe?

Iran, Korea Kaskazini na Venezuela kumeshakuwa kuchungu kwa America
 
Mbona makumi ya miaka yamepita na hawajarusha hata jiwe?

Iran, Korea Kaskazini na Venezuela kumeshakuwa kuchungu kwa America
Vikwazo vya kiuchumi tu ni Vita tosha tena mbaya zaidi hata hiyo ya mabomu
 
Umekosea mkuu kiduku alisema ndege yoyote itakayoruka kwenye anga yake atapiga chini... Amerika akarusha B1 bomber tena ikiwa na escort kali kiduku kaisindikiza kwa macho mpaka inatoka akaishia kulalamika

Usisahau pale Marekani alipopeleka machumachuma yake kwenye rasi ya Korea. Na akaanza kutoa vitisho vingi tuu.
Lakini kiduku akamwambia arushe tu japo jiwe aone cha moto...
Marekani akaondoa machuma yake na akasingizia kwamba yalikuwa yanapita tuu
Ndege mbili za kivita za Marekani zenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia B-1 Lancer zimepaa juu ya anga ya Korea Kaskazini, siku chache baada ya Korea Kaskazini kufanya jaribio la tano la silaha za nyuklia.

BBCSwahili

 
Walijaribu kudondosha japo jiwe?
 
Lakini wakati huohuo watu wake wanakufa njaa wamekondeana ila kiduku kimenenepeana
Ushahidi mkuu. North korea kila mtu ana kitu cha kufanya. Chakula wanacho cha kutosha, technoloji wanayo pia tena ya kwao kwao tu.
Mkuu yaweza kuwa sahihi but no one have actual data za umasikini na hayo mengine. Hii tutaendelea ku gues mpaka wenyewe waruhusu kutoa taarifa za ukweli
 
Mkuu, North Korea sio sehemu unaruhusiwa kupiga picha hovyo hasa maeneo masikini na sehemu nyingine nyingi.

Ile ni totalitarian regime by 100%. Wengine huita Rogue State.

Zipo regimes ambazo ni za kidikteta lakini degree ya udikteta unatofautiana. Ikiwa na maana zingine kwa sehemu kuna demokrasia kama vile Rwanda, Libya ya Gaddafi, Iraq ya Saddam Hussein, na Jamhuri ya watu wa Iran, Uganda nk

North Korea inaongoza kama nchi yenye mfumo kamili wa kidikteta kwa kila kitu.

Ukifanywa uchaguzi Kiongozi wao hushinda kwa 100% . hii ni positive skewness curve. Sio Normal distribution Curve. Watu wa statistics watanielewa nnachomaanisha

Tafuta documentary ya Dennis Rodman alipomtembelea Kim Jon Un kule North Korea. Ucheki video utaelewa kua ile sio nchi ya kawaida

Vikwazo vinavyowekwa a USA vina waathiri zaidi tabaka tawaliwa zaidi. Na ndipo umaskini ulipo.
Wako watalii walkowahi kufanikiwa kuoiga picha hii nchi kwa siri sana. Ni nchi masikini lakoni wananchi wanaazimika kutembea wakiwa na nyuso za tabasamu.
Raia Wengi wanaotoroka hii nchi hua hawarudi tena. Imewahi kuripotiwa ni mmoja aliwahi kurudi. Ukikamatwa unatoroka nchi unauwawa.
Ukiwa jela ni sawa na uliyekufa.
Television pekee wanaangalia ni ya Taifa..iwe bar ama popote.
 
Uko sahihi Mkuu....watu wake wanakufa njaa huko anarusha viroketi kusudi ili aonekane na Marekani apate nafuu ya vikwazo lakini Marekani wamemkazia
Huu ni umbea wa chabo wa akina mwajuma ndala ndefu hebu download majiji ya korea kaskazini halafu uwaze kwa akili yako ya kawaida kama kuna anaelala bila kula kwenye hayo mahekalu
 
Huu ni umbea wa chabo wa akina mwajuma ndala ndefu hebu download majiji ya korea kaskazini halafu uwaze kwa akili yako ya kawaida kama kuna anaelala bila kula kwenye hayo mahekalu
Hata Tanzania tuna sehemu nzuri lakini hali ya wananchi wa kawaida kila mtu anaijua, hatuongelei maendeleo ya vitu jombaa.
Tulia fanya research.

Ethiopia wana kila aina ya miundombinu mizuri lakini kila siku wananchi wao wanafia kwenye malori wanakimbia nchi yao
 
Kiduku karusha kombora 2 mkuu!! Kubwa ya zile kesho kutwa Japan wajiandae litapita moja kwenye anga lao!!

The two missiles were launched eastward from the country’s northwest, with one flying 260 miles and the other about 170 miles, the military said in a statement. It said officials from the South and the United States were jointly analyzing flight data to determine what type of missiles they were.
 
Ni short range missiles kama alizorusha majuzi!

Halafu wamerusha karibu muda sawa na Marekani,Marekani nao wametest ICBM Leo
 
Ahahahahha mkuu unachekesha sana. Adui wako ataandika mema juu yako? habari imeandikwa na BBC ndo unaleta ushahidi hapa? bullshit
Kwanini inakimbiwa sasa?! Na kwann ukitaka kutoroka nchi adhabu yake ni kifo kama kweli Maisha ni mazuri huko
 
Ni short range missiles kama alizorusha majuzi!

Halafu wamerusha karibu muda sawa na Marekani,Marekani nao wametest ICBM Leo
Tegemea kubwa!
kwaiyo wana wa monitor marekani sio!!
 
https://www.nytimes.com/2019/05/09/...korea-ship-seized.html?smid=nytcore-ios-share
 
Duniani kote hamna data hata kuhusu north korea,sasa ww hizo data umezitoa wapi?? Kama sio umbea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…