Ndio inaitwa kufunga mkanda Mkuu!Lakini wakati huohuo watu wake wanakufa njaa wamekondeana ila kiduku kimenenepeana
Mbona hayo machumachuma yapo mpaka Kesho!Usisahau pale Marekani alipopeleka machumachuma yake kwenye rasi ya Korea. Na akaanza kutoa vitisho vingi tuu.
Lakini kiduku akamwambia arushe tu japo jiwe aone cha moto...
Marekani akaondoa machuma yake na akasingizia kwamba yalikuwa yanapita tuu
Na yeye marekan si afanye kama kakosea arushe kombora kwa kidukuMarekani kishaona bwana kiduku ameshakaa kwenye 18 ndio maana anamzingua kwenye mazungumzo na bwana kiduku anarusha makombora kumkomvisi tramp warudi waongee lakini wap amechelewa.... Vikwazo vimeshataiti..... Waziri wa ulinzi aliyejiudhuru Bwana JAMES MATTIS Alimwambia kama unataka ushuhudie moto ambao haujawahi kushuhudiwa toka dunia kuumbwa arushe hata jiwe kwenye kisiwa chenye kambi kubwa ya marekani cha GUAM bwana kiduku mpaka leo anambwela....
Arushe!! Ajaribu tu kusogea karibu na zile jahazi zake!Na yeye marekan si afanye kama kakosea arushe kombora kwa kiduku
Huyu korea kusini ni mnafiki sana. Yaani anawapelekea ubeya wamarekani kutoka kwa ndugu yake north korea. Na adhabu ya msaliti inajulikana....lolKorea kusini imeeleza kwamba Korea kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi,hayo yanajiri baada ya mazungumzo ya kuondoa silaha za kinyuklia na Marekani kuvunjika.
Makombora hayo inaelezwa kwamba yaliruka umbali wa 70km hadi 200 kabla hayajaanguka baharini katikati ya Korea kaskazini na Japan.
Marekani imeeleza kwamba inafahamu kuhusu tukio hilo huku waziri wa Mambo ya nje wa Marekani akizungumza na simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Korea kusini na Japan.
Jaribio hili la kombora litakua ni la kwanza kwa Korea kazkazini tangu mwaka 2017 ambapo ilikua Mara ya mwisho nchi hiyo kurusha makombora.
https://www.google.com/amp/s/www.nytimes.com/2019/05/03/world/asia/north-korea-missile.amp.html
Mkuu amka ukakojoe husije kojolea godoloMarekani kishaona bwana kiduku ameshakaa kwenye 18 ndio maana anamzingua kwenye mazungumzo na bwana kiduku anarusha makombora kumkomvisi tramp warudi waongee lakini wap amechelewa.... Vikwazo vimeshataiti..... Waziri wa ulinzi aliyejiudhuru Bwana JAMES MATTIS Alimwambia kama unataka ushuhudie moto ambao haujawahi kushuhudiwa toka dunia kuumbwa arushe hata jiwe kwenye kisiwa chenye kambi kubwa ya marekani cha GUAM bwana kiduku mpaka leo anambwela....
Ushahidi mkuu. North korea kila mtu ana kitu cha kufanya. Chakula wanacho cha kutosha, technoloji wanayo pia tena ya kwao kwao tu.Lakini wakati huohuo watu wake wanakufa njaa wamekondeana ila kiduku kimenenepeana
baada ya kutoka Moscow kaenda kwao na kurusha kombeo angani,sijui kiburi mwenzie Putin kamhakikishia maisha!?Kama kawaida yake kiduku na utukutu wake
Mkuu ze habari za siku tele,kama ni kweli NK ina maisha magumu,ni kwa sababu KAWEKEWA VIKWAZO NA US,sasa jiulize vipi nchi hiyo kama isingekua imewekewa vikwazo ingekuaje? vikwazo viliwekwa ili kuidhoofisha,hakuna kuuza wala kununua bidhaa nje.hii maana yake sio kwamba hawawezi kuzalisha,wanaweza sana.Wangekua hawana vikwazo hata kwa siasa zao tu za JUCHE wangekua mbali sana,hii inawahusu CUBA na IRAN pia,na sasa VENEZUELA,Lakini wakati huohuo watu wake wanakufa njaa wamekondeana ila kiduku kimenenepeana
anambwela vp kama marekani ni mbambe ajaribu kupeleka manowari huko kama alivyopeleka iran.unacheza na korea wewe...unafikiri hao ni waarabu anaowaonea kila siku!comando 1 wa korea anauwezo sawa na commando 4 wa marekani.fanya utafiti wewe sio kuongea kama zuzuMarekani kishaona bwana kiduku ameshakaa kwenye 18 ndio maana anamzingua kwenye mazungumzo na bwana kiduku anarusha makombora kumkomvisi tramp warudi waongee lakini wap amechelewa.... Vikwazo vimeshataiti..... Waziri wa ulinzi aliyejiudhuru Bwana JAMES MATTIS Alimwambia kama unataka ushuhudie moto ambao haujawahi kushuhudiwa toka dunia kuumbwa arushe hata jiwe kwenye kisiwa chenye kambi kubwa ya marekani cha GUAM bwana kiduku mpaka leo anambwela....
Nachokumbuka Kiduku aliwaambia waMarekani kuwa wajaribu kurusha hata jiwe, Marekani akageuza fleets zake.Marekani kishaona bwana kiduku ameshakaa kwenye 18 ndio maana anamzingua kwenye mazungumzo na bwana kiduku anarusha makombora kumkomvisi tramp warudi waongee lakini wap amechelewa.... Vikwazo vimeshataiti..... Waziri wa ulinzi aliyejiudhuru Bwana JAMES MATTIS Alimwambia kama unataka ushuhudie moto ambao haujawahi kushuhudiwa toka dunia kuumbwa arushe hata jiwe kwenye kisiwa chenye kambi kubwa ya marekani cha GUAM bwana kiduku mpaka leo anambwela....
Saaafi sana dunia hii inaitaji watu strong kama huyu KIMKorea kusini imeeleza kwamba Korea kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi,hayo yanajiri baada ya mazungumzo ya kuondoa silaha za kinyuklia na Marekani kuvunjika.
Makombora hayo inaelezwa kwamba yaliruka umbali wa 70km hadi 200 kabla hayajaanguka baharini katikati ya Korea kaskazini na Japan.
Marekani imeeleza kwamba inafahamu kuhusu tukio hilo huku waziri wa Mambo ya nje wa Marekani akizungumza na simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Korea kusini na Japan.
Jaribio hili la kombora litakua ni la kwanza kwa Korea kazkazini tangu mwaka 2017 ambapo ilikua Mara ya mwisho nchi hiyo kurusha makombora.
https://www.google.com/amp/s/www.nytimes.com/2019/05/03/world/asia/north-korea-missile.amp.html
Kwanza heshima iwepo hayo mengine baadaeUko sahihi Mkuu....watu wake wanakufa njaa huko anarusha viroketi kusudi ili aonekane na Marekani apate nafuu ya vikwazo lakini Marekani wamemkazia
Kama wana Chakula Cha kutosha kwanini wananchi wengi wanataka kutoroka hiyo nchi lakini utawala wa Kim unawatisha kwa kuwaua.Ushahidi mkuu. North korea kila mtu ana kitu cha kufanya. Chakula wanacho cha kutosha, technoloji wanayo pia tena ya kwao kwao tu.
Nchi watu wanaishi kama wapo Jehanam,kama mwanajeshi ana hali mbaya hivyo minyoo imemjaa kwa kula kinyesi vipi kwa wananchi wa kawaidaUshahidi mkuu. North korea kila mtu ana kitu cha kufanya. Chakula wanacho cha kutosha, technoloji wanayo pia tena ya kwao kwao tu.
Salama tu Mkuu....Walishapewa masharti kwamba waachane na nyuklia waondolewe vikwazo,wamekaidi unataka wapewe huruma gani tena?!Mkuu ze habari za siku tele,kama ni kweli NK ina maisha magumu,ni kwa sababu KAWEKEWA VIKWAZO NA US,sasa jiulize vipi kamanchi hiyo kama isingekua imewekewa vikwazo ingekuaje? vikwazo viliwekwa ili kuidhoofisha,hakuana kuuza wala kununua bidhaa nje.hii maana yake sio kwamba hawawezi kuzalisha,wanaweza sana.Wangekua hawana vikwazo hata kwa siasa zao tu za JUCHE wangekua mbali sana,hii inawahusu CUBA na IRAN pia,na sasa VENEZUELA,
Si Kweli. North Korea ni nchi Maskini katika nchi maskini wapo.Ushahidi mkuu. North korea kila mtu ana kitu cha kufanya. Chakula wanacho cha kutosha, technoloji wanayo pia tena ya kwao kwao tu.
Korea Kaskazini sio levo zetu hata kidogo mkuu.Lakini wakati huohuo watu wake wanakufa njaa wamekondeana ila kiduku kimenenepeana
[emoji4][emoji4][emoji4]Usisahau pale Marekani alipopeleka machumachuma yake kwenye rasi ya Korea. Na akaanza kutoa vitisho vingi tuu.
Lakini kiduku akamwambia arushe tu japo jiwe aone cha moto...
Marekani akaondoa machuma yake na akasingizia kwamba yalikuwa yanapita tuu