North Korea threatens to turn U.S and South Korea into 'powder'

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,362
North Korea said it would "create a planet without the United States," as the United Nations Security Council prepared to pass a tough resolution against Pyongyang this week and the United States and South Korea are preparing a joint military exercise. Pyongyang made the statement Thursday in state-controlled newspaper Rodong Sinmun. In its editorial, North Korea also warned that South Korea and the United States could be turned into a "sea of fire,"reported
nkorea.jpg
 
Hahahaaaaa hao North Korea huwa wanachekesha sana.

Ikija kwenye mikwara hawana mpinzani.
 
Define neno "MKWARA."

MKWARA ni jambo au hali inayomfanya mtu awe na wasiwasi:

MKWARA ni defensive mechanism ya watu waoga na wasio na nguvu.
 
Mbona usa wanawaogopa
hawawaogopi mkuu sema tu hawajajaa kwenye 18 zao,au akitaka kutest ladha afanye millitary invasion pale south naamini matokeo yatakua yaleyale kwamba marekani anaonea hivi vinchi kumbe vyenyewe ndo vinaanzishaga tambo
 
Mbona usa wanawaogopa
Acheni Kusikiliza Maneno ya Kwenye Vijiwe vya Mafundi Viatu/baiskeli/ na Wauza Kahawa U.S siyo Mchezo ile North Korea hawawawezi Marekani Kama ujuavyo wanapigana vita vya Kisasa ardhi yake kamwe haiguswi hata na chembe ya Risasi ila vita hiyo itapiganiwa North Korea tuu kama walivyofanya kwa Vietnam, Iraq wanapigana kisasa kabisa so hawajaamua kuivamia hiyo North Korea muwe mna google na Kulinganisha hata ukubwa wa nchi na Uchumi pia.
 
Siyo kweli kama kweli usa wangekua wanaiweza north Korea ...wasingewachelewesha hadi leo.....as we see how long walichukua kuxivamia baadhi ya nchi....ata Iran bila ya urusi kuwatengea kifua wangeshaivamia
 
.north Korea wana makombora ambayo usa hawayafaham na yanauwezo wa kuisambaratisha usa....ukiona mtu anagwaya ujue kunakitu....mengine ni propaganda za usa as usually kujionyesha kwamba wenyewe ndo topest...na wamefaulu kwa hlo kwani media zote husambaza hzo propaganda zao
 
USA ina Watu 322,267,564 North Korea ina watu 24,442,20 million

GDP North Korea U$D 17 Billion USA U$D 17.9 Trillion
 
mkuu kwani unafikiri watu huwa wanaamka tu na kwenda kuvamia sehemu?watu wana interest zao wanazozitafutaga,nkukumbushe tu kabla ya iran na hio north korea unayoisema kulikua na ile iraq ya sudann ambayo kwa jinc ilivyofahamika enzi zile ilikua hatari kiac kwamba hii iran hukuickia na north korea walikua still wako behind,lakin jamaa walitafuta mbinu ya kumchapa na waliichapa iraq japokua kulikua na international outcry,tena vita kuu iliisha mapema tu wakabaki wale wanaojitoa muhanga kuendelea kusumbua..labda unambie aivamie south marekan ataogopa kuichapa north????
 
.north Korea wana makombora ambayo usa hawayafaham na yanauwezo wa kuisambaratisha usa....ukiona mtu anagwaya ujue kunakitu....mengine ni propaganda za usa as usually kujionyesha kwamba wenyewe ndo topest...na wamefaulu kwa hlo kwani media zote husambaza hzo propaganda zao
hakuna cha makombora hakuna sababu ya Msingi kuivamia North Korea
 
USA ina Watu 322,267,564 North Korea ina watu 24,442,20 million

GDP North Korea U$D 17 Billion USA U$D 17.9 Trillion
Kumbuka hao jamaa wanajitegemea kila kitu kuanzia technology hadi mapato na wametengwa na dunia
 
Back
Top Bottom