umemix timeline mkuu,Trump ndo alianza kusema iwapo korea watatoa tena vitisho basi watakumbana na nguvu na moto ambao hawajawahi kutana nao,masaa machache baadae korea ndo wakatishia quam,
baada ya hapo Trump akatishia tena,na baada ya masaa machache korea wakasema wameandaa kombora nne ziko standby kufyatuliwa across japan kuelekea uelekeo wa quam,katikati ya mwezi huu,yaani keshokutwa.
Kiini cha vitisho vya korea usidhani ni wehu hawana akili,ni kwamba kila mwaka marekani na korea kusini wanaleta mandege na mameli hapo kufanya mazoezi ya kijeshi,
north korea wanaona huo ni uchokozi wa wazi ndo maana kila mwaka huwa kunalipuka ugomvi,tatizo ni mazoezi hayo,
babake kim Un hakuwa mpole kama mtoto wake,
na infact alishazamisha manowari ya korea kusini na hakuna mtu alikohoa,
na alishashambulia kisiwa kimoja cha korea kusini na hawakumjibu,kiufupi korea kaskazini hawapendi kufanyiwa mizaha mizaha,japan anajua na pia korea kusini wanaelewa vyema,na marais wa marekani waliopita wanajua vyema,
sasa Trump anajitoa ufahamu,
kwa ajili ya kick na font feg