Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Hao watu wanafugwa kama punda.
Maskini wanatia huruma kweli.
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Nahisi unapotosha.
Ni kwa muda huu wa mwaka ambapo mida ya mchana kunakuwa na ongezeko kubwa la joto.
Kilicho potofu ni kipi hapo?
Hii ni condition ambayo ipo kwa most European and Asian countries...! like summer holidays...
Na huko kwingine huwa wanapewa amri ya kuanza kufanya kazi saa 11 au ni jambo la hiari?
Needs za nchi plus economic status zinalazimisha watawala kuamua hayo...na si utumwa!
Huo ni mtazamo wako.
Mtazamo wangu ni North Korea wanaishi kama mifugo.
Mambo ya utumwa umeyaleta wewe.
Hakuna sehemu niliyoongelea utumwa mimi.
Hao watu wanafugwa kama punda.
Kuna kitu kinaitwa 'insinuate'...si lazima ulitamke jambo ndo iwe umelimaanisha! Simple language rules bro!
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Hao watu wanafugwa kama punda.
Maskini wanatia huruma kweli.
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
No sir, that's just your inference of what I wrote as opposed to what you think I was insinuating.
And for that, you are wrong. Wrong because I didn't insinuate anything. I was very direct with what I said/ wrote.