So whodunit?
Some Anonymous wannabee.
Internet ya North Korea hata mimi na machizi wangu tukitaka kuipiga DDOS tunaipiga. The whole country has 1024 internet pingable IP addresses.
That's less than a midsize US corporation.
Halafu watu wanaipa North Korea more credit than is due kuhusu their capability ku hack Sony (granted, Sony'S defences are hardly the most rigorous).
Na siyo kwenye uwezo wa ku hack tu.
Hata kwenye uwezo wa kijeshi mbele ya Marekani ni a complete mismatch.
Majeshi ya Kim hayana uwezo wa kwenda toe to toe na majeshi ya Marekani.
Ila kuna sehemu moja tu ambapo nadhani North Korea hawana mpinzani: propaganda na fiery rhetoric.
Kila nikisoma statements zao kuhusu watakachoifanyia US huwa nacheka sana.
I must admit they have some very good writers.
hahahahaha!nafkri n vda kwel maake iko bzeWanatumia modern za voda au?
Mimi ni Mtanzania.
Huo uraia wa Marekani ulinipa wewe?
that comment was sarcastic. . you didnt have to reply...
How do you know it was sarcastic?
Are you the same person as the one who wrote it?
I have no idea what you talking about... i dont know who posted this..its in plain view... te comment was sarcastic. . I fail to undertand why you didnt see it
Typical ignoramus jibber jabber.
fancy words
Dogo fat boy ana akili za kiCCM
Kumbe north korea watu milioni moja tu ndo wa unatumiasimu? Kweli ni nchi ya kidictator
Na huyo bwana mdogo eti hataki watu wengine wawe na jina kama lake!