Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,149
- 137,150
- Thread starter
-
- #41
Propaganda hizo baada ya kupigwa na north korea sasa wanatapatapa inawezekana vp nchi kama usa inayojitapa kama ni bingwa wa technology wakapigwa na north korea ni fedheha, sasa wanajinasibu na wenyewe wamelipa kuficha fedhea
US imepigwaje na NK?
Hakuna agency ya US govt. iliyokuwa hacked na NK.
Hakuna.
Kwani huwa anaamka tu na Kutaka watu wauliwe? Kisa ni yule baba yake mdogo? Hivi Edward Snowden yuko wapi siku hizi!? Hasemwi wala hajisemi sijui kakimbia nini wakati alisema ukweli au aliogopa kuuwawa na wale majasusi watesaji wa CIA? ila wale hawaui raia wao wanawaendea kina sadam na osama.
Mpaka sadam hussein anakata roho osama alikuwa anasadikika kuwa amejificha. He was a terrorist bombed a building killing 3500 Americans. The Americans did very same thing ambacho alshabab anakifanya leo Kenya. KDF walifanya uvamizi kwenye udongo wao na wao wanaharibu udongo wa Kenya. Hivi vita dhidi ya ugaidi imeua wangapi hadi leo? Serikali ya kim imetoa hukumu kwa mtu aliyekosa. America imeua mamia kwa maelfu ya watoto, wazazi tegemewa kwa family zao, maraisi, wasomi wa nchi mbali mbali.... Bado kim anaitwa muuaji mbele ya watu hawa,bado tupo tunaorusha lawama juu ya utawala wa kim na kusahau kuwa kim hajawahi tuma drones kwenda Libya kumuua Gaddafi, kim anashutumiwa na watu tunamchora na kumtusi kwa shutuma ambazo binafsi amezikataa zakuhack mtandao wa Sony ilhali Snowden katoka kusema juzi tu juu ya ushenzi wa NSA wapi tunapewa nguvu hii ya kuona kwa jicho moja? Tuna maslahi gani kwa mmarekani?
Kama nchi inayoendelea nadhani lazima tuamini kuwa linalomkuta dprk litatukuta na sisi. Kama si kupakwa matope na medias za us basi tutavamiwa kama kuku na kuchinjwa kisha wataondoka...
fat boy little Kim Jong-un, stay away from america,she is above your level.
Inabidi wahack manually
On a more serious note, sidhani kama hata Wakorea wengi wataathirika na hiyo outage kwa sababu wengi wao hawana access na mtandao.
Inasemekana huko NK kuna Internet Protocols 1024 tu wakati Marekani kuna mabilioni ya hizo protocols.
So just to put things into perspective, not a whole lot of folks will be affected there in the Hermit Kingdom.
They can't even feed themselves for Pete's sake!
Kwani mkuu sony pictures ni kampuni ya wapi ?, ingawa sony ni private company how comes us govt inajiassociate na hiyo cyber attack. Kama sio kutaka kuficha udhaifu wao wakuruhusu hiyo cyber attack.
Us govt inahucka kwa namna moja au nyingine kufadhiri au kunufaika na content za hyo movie thats why hyo cyber attack imewa pain
Sony Pictures ni subsidiary ya Sony, kampuni ya Kijapani.
Mkuu ata kama sony pictures ni subsidiary ya sony japan bado hiyo attack imeonesha weakness kwa upande wa usa kushindwa kudhibiti kitu kama hicho kisitokee especially from your worst enemy.
NK kupitia hiyo attack wamesend msg kwa usa kuwa we have the capability to hit you anytime
korea wanapoteza muda wao. hapo ni sawa na Rwanda kuitishia Tanzania, ndio korea kuitishia marekani. it will only take few days to terminate pPyongyang Tanzania will have a very easy job to terminate kigali as well.fat boy little Kim Jong-un, stay away from america,she is above your level.
north korea wamesharudisha internet,,,
1. Sony haijawa hacked na North Korea.
2. Marekani haijaicrash internet access ya North Korea.
3. Almost everybody is overreacting.
Huyo propaganda mouth piece wa US aache kubwabwaja.......lakini wakijaribu kuleta uvundo wao wa ubaguzi,kuwaua weusi,kuua watu na drones,kuchochea vita na machafuko na tabia zao za "my effn "d**##k" is bigger than yours ----"na kujiona exceptional n.k kule pyongyang Mchina atamchapa bakora za matakoni hata hivyo vijikaratasi vyao eti dollar tutavitia kwenye taka.......time to use gold and Yuan as legal standard.