kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
Kama alikuwa kazoea kwenda Spankwire au Xhamster leo imekula kwake.
Sitashangaa tukija kusikia kaamuru IT techs wake wote wauliwe halafu kama inavyodaiwa aliagiza kwa yule sijui mjombae au dingi yake mdogo.
Kwani huwa anaamka tu na Kutaka watu wauliwe? Kisa ni yule baba yake mdogo? Hivi Edward Snowden yuko wapi siku hizi!? Hasemwi wala hajisemi sijui kakimbia nini wakati alisema ukweli au aliogopa kuuwawa na wale majasusi watesaji wa CIA? ila wale hawaui raia wao wanawaendea kina sadam na osama.
Mpaka sadam hussein anakata roho osama alikuwa anasadikika kuwa amejificha. He was a terrorist bombed a building killing 3500 Americans. The Americans did very same thing ambacho alshabab anakifanya leo Kenya. KDF walifanya uvamizi kwenye udongo wao na wao wanaharibu udongo wa Kenya. Hivi vita dhidi ya ugaidi imeua wangapi hadi leo? Serikali ya kim imetoa hukumu kwa mtu aliyekosa. America imeua mamia kwa maelfu ya watoto, wazazi tegemewa kwa family zao, maraisi, wasomi wa nchi mbali mbali.... Bado kim anaitwa muuaji mbele ya watu hawa,bado tupo tunaorusha lawama juu ya utawala wa kim na kusahau kuwa kim hajawahi tuma drones kwenda Libya kumuua Gaddafi, kim anashutumiwa na watu tunamchora na kumtusi kwa shutuma ambazo binafsi amezikataa zakuhack mtandao wa Sony ilhali Snowden katoka kusema juzi tu juu ya ushenzi wa NSA wapi tunapewa nguvu hii ya kuona kwa jicho moja? Tuna maslahi gani kwa mmarekani?
Kama nchi inayoendelea nadhani lazima tuamini kuwa linalomkuta dprk litatukuta na sisi. Kama si kupakwa matope na medias za us basi tutavamiwa kama kuku na kuchinjwa kisha wataondoka...
And your point is....?
nadhani fat boy alikuwa anakesha xvideos kupakuwa mzigo.:becky:
Don't mess up with zoan,hahah!
And your point is....?
Nakushangaa raia mtiifu wa marekani unamnyooshea kidole kim ikiwa ndani ya nchi yako(America) kuna uozo mwingi usiotaka kuusema. Ikiwa unachukizwa na uonevu useme wote.
USA baby. Unagombea kisu akati umeshika makali mwenzio kashika mpini
Acha vita ianze...:becky:
seems Pyongyang is a very modern city..love US lakini nao kwa propaganda hawana tofauti na fat boy.
Kuna asiyefanya propaganda kwani? Hata Tanzania ilikuwa inapiga propaganda dhidi ya Idi Amin. Hakuna aliye above propaganda. Wote wanazipiga tu na sehemu muhimu ya mapambano.
BTW, kwa nini usilipeleke hilo tunyetunye lako vacation huko Pyongyang:becky:?
you mean this tunyetunye with hot thigh gap..kula kwa macho tuu kiwango chako kidogo
Leo atashindwa kuangalia porno movie zake:becky:
Haya, kumekucha. FBI declines to comment.
Severe Internet connectivity problems seen in North Korea in wake of Sony hacking attack
WASHINGTON (AP) -- North Korea is experiencing widespread Internet outages. One expert says the country's online access is "totally down."
It's not immediately clear if the Internet connectivity problems were an act of retribution for a major intrusion at Sony Pictures Entertainment that the FBI last week linked to North Korea.
President Barack Obama on Friday said the U.S. government would respond but didn't say how.
The White House declined to comment Monday. State Department spokeswoman Marie Harf told reporters that of the federal government responses, "some will be seen, some may not be seen."
Doug Madory (Muh-DOOR-ee), director of Internet analysis at Dyn Research, said the Internet connectivity problems were discovered in the last 24 hours and have gotten progressively worse to the point that "North Korea's totally down."
Source