Noorah Babastyles rudi utupe ngoma moja then urudi Shinyanga

Ile chamber squard ilikuaga balaa ukute wapo interview kwenye radio utaenjoy, kipindi kizima wanafreestyle huchok wasikiliza
 
Ilikuwa hatari sana....jamaa anauza Duka lake tu LA Vifaa vya gari pale Shy Town...kawa kibonge dizaini kama kalizika flan hivi
Hakika ni miongoni mwa Rapper mkali sana kuwahi kutokea Tz....tunda Murua la Chamber Squaddddd

Mez b,Na Ngwea washatangulia.

Now yuko yeye na Darkmaster
Hawa jamaa walikutana Dodoma Shuleni....Boarding

Kaka Walikuwa wa Moto sana,Sasa Hapo kwa Ngwea........hoiiiii Balaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi kuona uzi kuwa ni muda mrefu anaumwa, aliumia wakati wa moja ya show ya fiesha.
alifanyiwaga operesheni kairuki alilazwa zaidi ya mwezi mzima ila alipoana akawa vizuri toka hapo hakusikika tena kwenye muziki
Akatizapo street midume nyoyo "zapwita"
Akikuata kijicho tu utadhani anakuita,
Mmh anawachengua matozzz....mtotoo anayajua mapoz!

Bradha duzz wenye vichenchede misele mbele mbele na du ana cash kede...

Mnyamwezi napiga styles za kiujuzi...nakitu inatiki tu kama star kwenye movie.

Anakatika aah...anadatisha na mwenye umbo la kiafrika mwanaume ndio nafika..

Starehe ni kupare naye kiuno tu mi nabaki hohehae.
Akatizapo kila street midume nyoyo za kuitaa
Akikukata kijicho tu ni kama anakuitaaa
Duu anawachengua matooz mtotoz anyejua mapoozi,.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni "nyero" akimaanisha "pumbu"
sema alitumia tafsda fulani hivi lengo ni
"akipita wanaume wote wanadindisha" kipindi hicho majizo fashizo mawazo nooorah ili uwe uonekane mjanja .a.k.a yako lazima iihie na zo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii video ya ice cream inatoka mara ya kwanza
wana wakawa wanasema ameshoot video china hahahaaaa
kumbe ulikua utundu tu wa adam juma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom