Noombeni msaada kuhusu kupata ujauzito

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea sasa swali langu ni namna ya kuepusha mimba,kwani alianza monthly period tarehe 29.04.2012 sasa je leo tukifanya mapenzi bila kutumia kinga anaweza akaupata ujauzito? Naombeeni mnisaidie
 
Hawezi kupata cause leo ni siku ya 7 kama sikosei..
But tumieni ndom to be on a safe side zaidi..
Nb:uzinzi ni dhambi ati!
 
Haya mambo ya tarehe mimi yalinishinda asee.,
Mkuu learn to withdraw..:nerd:
 
kama ni mchumba msifanye kabisa manake mtakuwa mnazini. msihalalishe dhambi.
 
Mshikaji Biology ulipata F nini? Kuna topic inaitwa reproduction uliikimbia?

Ukinijibu kama mmepima nitakufundisha A - Z ya hiyo kitu ili ujue mbivu na mbichi.
 
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea sasa swali langu ni namna ya kuepusha mimba,kwani alianza monthly period tarehe 29.04.2012 sasa je leo tukifanya mapenzi bila kutumia kinga anaweza akaupata ujauzito? Naombeeni mnisaidie
Acha uzinzi. Unauhakika huko atokako hafanyi na mtu mwingine? Akikosa mimba utapata ngoma. uzinzi ni NOMA. Msubiri mpaka akiwa mkeo ndio mfanye ngono
 
Thread nyingine bana dah! Mna umri gani? Na huyo mchumba mpk ushamlipia mahari hajui tarehe za hatari? Ngoja niongeze taska malti.
 
Mkuu leo hii haina shida kabisa hawezi kupata mimba!
Leo ni siku ya saba toka hiyo tarehe 29.04.12 ila ikifika siku ya kumi anza kutumia ndom kwani possibility ya kupata mimba ni kubwa.
 
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea sasa swali langu ni namna ya kuepusha mimba,kwani alianza monthly period tarehe 29.04.2012 sasa je leo tukifanya mapenzi bila kutumia kinga anaweza akaupata ujauzito? Naombeeni mnisaidie

hapo mjiandae kuvuna mtakachopanda.remember sperms hazikai humo ndani siku moja tu so take note of that.
 
kama hamtaki mimba wear a condom,use pills or stop having sex!!utaumiza kichwa kuhesabu siku na mimba mkaipata vilevile..
 
Inategemea Na mzunguko wake wa mwezi ni Siku ngapi. Kama 28, 30 jilieni tu.
 
hapo mjiandae kuvuna mtakachopanda.remember sperms hazikai humo ndani siku moja tu so take note of that.

Kweli, wanasema zinakaa masaa 72, (cku3), so bora m2mie kinga, na yai la mwanamke lapevuka mara 2, kuna kipindi cha kati, na mwishoni akikaribia kupata hedhi, me niliwahi kukwepa kusex cku za hatari, nikafanya kipindi ambacho nilikuwa nategemea anza period, ila huko nikanasa, hospital wakaniambia kipindi hcho pia mimba hu2nga, kwanza cjui ku2mia kalenda, so kama mwaogopa mimba 2mieni kinga, au mpenzio aende kupata kinga za kuzuia mimba, hzo zinatolewa hata kwa ambao hawajazaa, na hawataki kuzaa sasa, ushauri wangu ndo huo.
 
Back
Top Bottom